Nimepata ajali, niombeeni wana JF

Nimepata ajali, niombeeni wana JF

Habari Jf

Leo mida ya saa kumi na Moja Kamili, nikiwa na Bajaj yangu kazini.. natoka mji Mwema kwenda ferry kigamboni.

Nikiwa katika low speed ukizingatia hali ya hewa nikiwa upande wangu, gafra niliona artezza White imeovertake Iko mbele yangu,,,

Aisee, nilijitahidi kukwepa lakini alikuwa speed sana, baadae kakimbia sijui hata rangi ya gari, Nina maumivu kichwani na mguuni.

Bajaj yangu Ina Bima kubwa.
Askari wamepima na kuchora
Taratibu zingine zipoje nirudi kazini... View attachment 2558751View attachment 2558752View attachment 2558754
Pole sana ndugu
 
Pole sana mkuu na Mwenyezi Mungu akupe wepesi wa kupona haraka, ili maisha yako yaendelee, naomba ujifunze hapa ili yasijirudie, put pressure kwa Mbunge wako ili hizi barabara ziwe na CCTV, pia kujengwe speed cameras 📷, na mkuu jitahidi to invest on cameras kwenye hiyo bajaji yako, pole.
 
Pole sana mkuu na Mwenyezi Mungu akupe wepesi wa kupona haraka, ili maisha yako yaendelee, naomba ujifunze hapa ili yasijirudie,put pressure kwa Mbunge wako ili hizi barabara ziwe na cctv, pia kujengwe speed cameras , na mkuu jitahidi to invest on cameras kwenye hiyo bajaji yako ,pole
Ahsante
 
Habari Jf

Leo mida ya saa kumi na Moja Kamili, nikiwa na Bajaj yangu kazini.. natoka mji Mwema kwenda ferry kigamboni.

Nikiwa katika low speed ukizingatia hali ya hewa nikiwa upande wangu, gafra niliona artezza White imeovertake Iko mbele yangu,,,

Aisee, nilijitahidi kukwepa lakini alikuwa speed sana, baadae kakimbia sijui hata rangi ya gari, Nina maumivu kichwani na mguuni.

Bajaj yangu Ina Bima kubwa.
Askari wamepima na kuchora
Taratibu zingine zipoje nirudi kazini... View attachment 2558751View attachment 2558752View attachment 2558754
Pole sana! Kama umesahau rangi ya gari, basi soma tena uzi wako, maana umeitaja hapo!
 
Pole memba, Mungu akuponye majeraha na urudi kuchapa kazi
 
Pole sana mkuu.
Halafu kuwa makini na hiyo njia mida ya asubuhi.
Hiyo njia kuanzia kibada mpaka roundabout ya hapo mnadani kuelekea darajani asubuhi mida kama hii ninayo andika uwemakini sana.. Watu waaovateki bila wasiwasi wowote na imekuwa kama ndio kawaida sasa.
Kana huelewi utadhani wapo kwenye barabara ya njia mbili zinazokwenda sehemu moja.
Watu wanawahi makazini kuwa makini sana usishindanenao.

Kama unatumia hiyo njia kilasiku asubuhi unaelewa ninachoongea.

Pole sana.
 
pole sana mkuu.
Alafu kuwa makini na hiyo njia mida ya asubuhi.
Hiyo njia kuanzia kibada mpaka roundabout ya hapo mnadani kuelekea darajani asubuhi mida kama hii ninayo andika uwemakini sana.
Watu waaovateki bila wasiwasi wowote na imekuwa kama ndio kawaida sasa.
Kana huelewi utadhani wapo kwenye barabara ya njia mbili zinazokwenda sehemu moja.
Watu wanawahi makazini kuwa makini sana usishindanenao.

Kama unatumia hiyo njia kilasiku asubuhi unaelewa ninachoongea.

Pole sana.
Yeah yeah sawa Boss
 
Pole sana,
Ufike hospital kwa vipimo zaidi,

Hiyo barabara siku ya Jumatatu watu wanakuwa na wazimu wengi wametoka kukesha kwenye mabar hapo kalewa halafu ana drive na bado litaenda kazini.

Dah! Ningekwambia uzungukie gereji kadhaa uchunguze gari ya Alteza itakayoenda kupatiwa huduma kwa wiki hii yote.
 
Pole sana,
Ufike hospital kwa vipimo zaidi,

Hiyo barabara siku ya jumatatu watu wanakua na wazimu wengi wametoka kukesha kwenye mabar hapo kalewa halafu ana drive na bado litaenda kazini,

Dah! Ningekwambia uzungukie gereji kadhaa uchunguze gari ya Alteza itakayoenda kupatiwa huduma kwa wiki hii yote.
Sawa mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom