scolastika
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,863
- 5,732
Pole sana kwakweli
Alafu ukizingatia mwanajamii mwenzetu,anakuja mtu anampondaMbona siuelewi uzi wako? Member ameeleza yaliyomsibu na wewe unaishia kumkashifu kwa kusema hakuna mwendesha bajaj au bodaboda mwenye akili timamu. Unaenda mbali zaidi na kusema tezza ingekumaliza lofa wewe. Ni nini hasa kinachomfanya huyu aliyepata ajali kuwa lofa? jee, ni kweli kwamba waendesha wote wa bajaj au bodaboda hawana akili timamu? Mnusurika wa ajali hastahili matusi hayo. Badala yake anahitaji kupewa pole.
Jiulize ni wangapi wanakamatwa kwa msaada wa kamera hizo.China ina kamera zaidi ya milioni 500
London inaongoza duniani kwa kuwa na kamera nyingi kwa idadi ya watu.
Marekani pia ina kamera nyingi
Nchi zote hizo kuna matukio hutokea na watu hawajakamatwa hadi leo
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Alafu ukizingatia mwanajamii mwenzetu,anakuja mtu anamponda
Ova
Alafu ukizingatia mwanajamii mwenzetu,anakuja mtu anamponda
Ova
Pole sana mkuu
Nashukuru sanaWapondaji wasimuumize kichwa kikubwa kapona na anabima kubwa mambo yatakaa sawa sio muda mrefu
Heshima mkuuPole askari wewe ni mpambanaji masaibu yamekukuta ukiwa unaelekea kutafutia familia, kila kitu kitakaa sawa wala usihofu, wanaokuponda ni akina kajamba nani ambao ni wafuasi wa yule mkimbizi wa canada wewe utakua sawa tuu
😳Pole sana kiongozi
Du, nimejikuta nacheka kwa sauti!Mkuu si umesema Artezza white kulikoni tena hujui rangi yake?
Pole sana.Habari JF,
Leo mida ya saa kumi na Moja Kamili, nikiwa na Bajaj yangu kazini, natoka mji Mwema kwenda ferry Kigamboni.
Nikiwa katika low speed ukizingatia hali ya hewa nikiwa upande wangu, ghafla niliona altezza White imeovertake Iko mbele yangu.
Aisee, nilijitahidi kukwepa lakini alikuwa speed sana, baadaye kakimbia sijui hata rangi ya gari, Nina maumivu kichwani na mguuni.
Bajaj yangu Ina Bima kubwa
Askari wamepima na kuchora
Taratibu zingine zipoje nirudi kazini
View attachment 2558751View attachment 2558752View attachment 2558754
Pole, feel better soonHabari JF,

Asante sanaUliyoeleza ni practical advice nzuri sana. Hivyo ndivyo inavyotupasa wana-JF wote kufanya kulibakiza Jukwaa hili kuwa la Great Thinkers...
Pole ndugu, nguvu za kupiga hizi picha umetokea wapi🤔Habari JF,
Leo mida ya saa kumi na Moja Kamili, nikiwa na Bajaj yangu kazini, natoka mji Mwema kwenda ferry Kigambon...