Nimepata ajali, niombeeni wana JF

Nimepata ajali, niombeeni wana JF

Pole sana mwamba. Road Kuna mambo mengi sana ya hatari. Muda wote roho nkononi.

-Kaveli-
 
Unaendeleaje mgonjwa?
Naendelea vizuri.
Kesho ndio nataka kufuata taratibu za Bima ili kujua ntapewa mpya au itatengenezwa.

Kwa majibu ya hospital wamesema hakuna shida, ila ndani ya tumbo nasikia kama joto tu...

Pengine kote sawa mkuu
 
Afadhali,Mungu akutie nguvu kwa hizo changamoto
 
Naendelea vizuri.
Kesho ndio nataka kufuata taratibu za Bima ili kujua ntapewa mpya au itatengenezwa.

Kwa majibu ya hospital wamesema hakuna shida, ila ndani ya tumbo nasikia kama joto tu...

Pengine kote sawa mkuu
Wamekucheki na tumbo au umewaambia jinsi unavyojisikia..?
Halafu make sure unapimwa sio unaangaliwa kwa macho tu...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom