Nakuombea upone haraka wiki hii nina safari ya Kibada nikiweza nitakuchekiSawa mshana
Nimefurahi sana kuona text Yako.
Nakukubali japo Nipo kwenye shida


Sawa ila mkuu unajua udereva was kujihami??Pole sana ndugu Yangu, Mimi ni mtumiaji WA barabara Kwa sana, ninachoona Sasa Bajaji nyingi zina mwendo mkali kama Gari TU!! Sasa ulichokifanya umekomaa na mwendo Wako angali mwenzako (dereva WA altezza) akijua hii ni Bajaji nitaipita TU bila nguvu nyingi ila wewe ukakomaa!! Kilichotokea Gari nyingine ikaja mbele yake Huku malengo yake ya kukupita yalikuwa hayajakamilika hivyo ikabidi kurudi Kwa haraka kwenye upande wake!! Angalizo; nyie watu WA Bajaji mnatabia ya kuona mmeonewa!! Hivyo ukambania badala ya kuchukua tahadhari na kujiokoa na kuepusha Ajali!! (Kupunguza mwendo) Ila faida yake nadhani umeiona!! Hili liwe fundisho Kwa madereva wote (hasa WA Bajaji) Mwenzako anapokupita mpe nafasi Kwa kupunguza mwendokasi Kwani kila mtu ana haraka zake na zinatofautiana (Hakuna haja ya Mashindano)
Ifahamike watu wengi wanakupa pole TU Kwa vile wewe ndio umekuja hapa Kwa jukwaa kutoa kilio chako ila Mimi nataka kusaidia na wengine ambao hulka zinafanana
Nakuombea upone haraka wiki hii nina safari ya Kibada nikiweza nitakucheki![]()
mshanaNdugu Mshana ukifanikiwa Mpe pia ushauri huo hapo juu, Najua next time hatapata ajali inayofanana!! Siku zote angekuwa na mwendokasi mdogo na subira ajali kama hizi zinaepukika!! Labda Mzembe WA kugonga Kwa nyuma!! Ndio haepukiki!! Ila pia hii husababishwa na dereva Bajaji anapoona mteja Kwa Ghafla, pia hii hasababishia wengine ajali na maafaNakuombea upone haraka wiki hii nina safari ya Kibada nikiweza nitakucheki![]()
Nisome kwenye dots!! Sikulaumu ila Nina uzoefu WA kuona kisababishi Cha ajali!! Tahadhari kubwa Kwa mtu anayekupita kiuzembe ni brakes zako!! Na kumuacha aendeSawa ila mkuu unajua udereva was kujihami??
Siwezi kukomaa kufuata kifo imekuwa immediately sikuweza kufanya maamuzi yoyote na alikuwa upande wangu
Ulikata bima ya sh. Ngapi?Inawezekana kupewa ingine?