bandeko andeko
JF-Expert Member
- Oct 20, 2021
- 1,228
- 2,473
pole ndugu.
Ukiwa unaitafakari ajali lazima ulinganishe Mazingira, ndio maana Mungu ametupa utashi WA utambuzi kuendana na Mazingira na uzoefu! Usitake kutoa Pole bila kutoa mawazo kuzuia lisitokee tenaUlikuepo tukio linatokea!??
Ahsante sanaPole janja
1. Report kwenye bima yako kuhusu hiyo ajali hakikisha ni ndani ya saa 48Nashukuru sana Ndugu zangu kwa pole zenu, Mungu atanilipa ila swali langu lipo kwenye Bima hapo duuh
Pole sana member mwenzetu. Tushukuru kwamba wewe mwenyewe hukupata majanga zaidi ya yaliyokifika chombo chako cha kazi.Habari JF,
Leo mida ya saa kumi na Moja Kamili, nikiwa na Bajaj yangu kazini, natoka mji Mwema kwenda ferry Kigamboni.
Nikiwa katika low speed ukizingatia hali ya hewa nikiwa upande wangu, ghafla niliona altezza White imeovertake Iko mbele yangu.
Aisee, nilijitahidi kukwepa lakini alikuwa speed sana, baadaye kakimbia sijui hata rangi ya gari, Nina maumivu kichwani na mguuni.
Bajaj yangu Ina Bima kubwa
Askari wamepima na kuchora
Taratibu zingine zipoje nirudi kazini
View attachment 2558751View attachment 2558752View attachment 2558754
Naunga mkono mawaidha.Pole sana, ila kabla ya Bima kubwa na kurudi kazini, angalia swala la afya, usione shida kutumia akiba kwa ajili ya afya, maana hiyo afya ndo imekupa hiyo akiba.
Usione Wanaongea hapa Kwa unyonge, kwenye anga zao ni noma sana, Hawajali, hawana tahadhari ni Majanga!! Na Sasa Bajaji zina mwendo ukiamua kuwapita ukae mbele Yao pia hufanya Mashindano, ukikaa nyuma Yao ghafla akiona mteja husimama ghafla na kukuletea ajali, Kwa kweli Hawa watu wanahitaji elimu ya Matumizi Bora ya barabaraHamna dereva bajaj au bodaboda mwenye akili timamu, tezza ingekumaliza lofa wewe, bahati yako.
Uliyoeleza ni practical advice nzuri sana. Hivyo ndivyo inavyotupasa wana-JF wote kufanya kulibakiza Jukwaa hili kuwa la Great Thinkers. Naamini kabisa hapa Jukwaani hakuna utaalamu ambao hakuna member hata mmoja anayeufahamu. Hivyo, tuutumie ujuzi huo kwa manufaa yetu sote.1. Report kwenye bima yako kuhusu hiyo ajali hakikisha ni ndani ya saa 48
2. Pata documents za polisi PF,90 PF 91, PF 115 hii haina haraka
3. Wasilisha hizo nyaraka ukiwa na
.nakala ya leseni
.nakala ya kadi
.mkataba wa bima
.nakala ya risiti ya bima nk
Huko bima utapewa form ya madai(claim form) hii hakikisha unapata msaaada wa kujaza maana ina maswali ya mtego
China ina kamera zaidi ya milioni 500Pole sana. Upande uliopigwa inaonyesha kweli ulikuwa unakwepa. Hivi hamna kamera zinazoweza kusaidia kumpata mhusika? Mji ungewekewa kamera.