Nimepata ajali jana maeneo ya Kawe

Nimepata ajali jana maeneo ya Kawe

Wala usipoteze muda maana hawa Watu huwa hawakosekani, JF ni kama Mtaani, kuna Walevi, Wavuta bangi, Wahuni, Waliovurugwa tu na stress n.k.

Hivyo ni kama upo mtaa wa Congo, Mtu anakupiga kikumbo bila ya sababu na ukitaka kumuuliza ndio unatafuta balaa, ni bora kumuacha aende zake.

Pole kwa Mleta uzi ingawa naona unapunja taarifa mpaka Mdau wa kwanza kuchangia akalazimika kuuliza maswali muhimu....na hapo alipotoroshwa Dereva na huyo Bodaboda kwamba aliacha hilo Gari lake lilikugonga ama?.

Ndio gari lilikuwa linatolewa
 
Pole. Ila ushauri wangu kwako ni huu: Siku za sikukuu jaribu sana kusheherekea ukiwa nyumbani. Hii ni kwa sababu sikukuu ndiyo siku ya washamba wengi kutoka, kuzunguka hovyo na kulewa.

Sawa mkuu hila ni kawaida yangu kutoka juma pili kama sio juma pili bas ijumaa
 
Dereva alikuwa mlevi akawa amekimbia baada ya muda nilimuona boda boda ambaye alikuwa anamfukuza akanipeleka sehemu ambako gari lilonigonga limekwama mbele alipata ajali tena.

Kufika pale nikakutana na polisi wanapima nikatoa maelezo yangu ila cha ajabu yule dereva alitoroshwa pale na boda ambae amenionesha.
Huyo boda boda kanichekesha sana mkuu pole sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sawa mkuu hila ni kawaida yangu kutoka juma pili kama sio juma pili bas ijumaa
Sawa. Laikini siyo kila Jumapili ni sikukuu, hivyo jaribu kukaa nyumbani siku za sikukuu. Nasema hili kutokana na uzoefu. Ajali nyingi na maasi mengi hutokea wakati wa sikukuu. Mimi nilitapikiwa na mlevi mmoja siku ya sikukuu, basi tangu siku hiyo sitoki siku za sikukuu kubwa.
 
Sawa. Laikini siyo kila Jumapili ni sikukuu, hivyo jaribu kukaa nyumbani siku za sikukuu. Nasema hili kutokana na uzoefu. Ajali nyingi na maasi mengi hutokea wakati wa sikukuu. Mimi nilitapikiwa na mlevi mmoja siku ya sikukuu, basi tangu siku hiyo sitoki siku za sikukuu kubwa.

Siwezi ludi tena aki
 
Kiukweli ukinigonga n thn nikigundua umelewa nitakushushia kipondo had pombe ikutoke au kesho ukiwa sawa lazima ujikute na ngeu za kutosha.Maana haiwezekan ww starehe zako zitusababishie matatizo wengine n thn maisha yaendelee km kawaida.
 
Umejiona ulivyo MUONGO.

Ulitumia nini kurequest?

Sikia simu ilikuwa na asilimia 2 nikazitumia kulikwest baada ya hapo simu ilizima dereva alipofika alipiga simu na lain ilikuwa kwenye simu ndogo

Na sina sababu ya kuongopa
 
Back
Top Bottom