Nimepata ajali jana maeneo ya Kawe

Nimepata ajali jana maeneo ya Kawe

Ndugu za maamko

Kwa upande wangu ni mbaya nimepata ajari jana wakati natokea kidimbwi wakati naludi home

Hilikuwa hivi nimetoka pale naelekea kwenye parking wakati natambea nikaona gari inakuja nyuma inayumba yumba na kwa mwendo kasi nikawa najaribu kuikwepa ndipo ilipo nizoa na kunilusha uko

Sijaumia sana hila naendelea vizuri kidogo
Mungu amekutendea makuu. Mpango wa adui shetani ulikuwa ufe kabisa. Maana kazi kubwa ya shetani ni kuchinja, kuua na kuharibu.
 
Ndugu za maamko

Kwa upande wangu ni mbaya nimepata ajari jana wakati natokea kidimbwi wakati naludi home

Hilikuwa hivi nimetoka pale naelekea kwenye parking wakati natambea nikaona gari inakuja nyuma inayumba yumba na kwa mwendo kasi nikawa najaribu kuikwepa ndipo ilipo nizoa na kunilusha uko

Sijaumia sana hila naendelea vizuri kidogo
Pole sana kamanda. I wish u a speedy recovery
 
Ndugu za mwamko,

Kwa upande wangu ni mbaya nimepata ajari jana wakati natokea kidimbwi wakati narudi home.

Ilikuwa hivi nimetoka pale naelekea kwenye parking wakati natembea nikaona gari inakuja nyuma inayumba yumba na kwa mwendo kasi nikawa najaribu kuikwepa ndipo iliponizoa na kunirusha huko.

Sijaumia sana lakini naendelea vizuri kidogo
Pole sana ndugu! Mungu akupe kupona kwa haraka.
 
Pole Sana, kuna Mtu alitoa tahadhari kuhusu unywaji wa pombe na kuwa makini barabarani sema Get well soon
 
Ndugu za mwamko,

Kwa upande wangu ni mbaya nimepata ajari jana wakati natokea kidimbwi wakati narudi home.

Ilikuwa hivi nimetoka pale naelekea kwenye parking wakati natembea nikaona gari inakuja nyuma inayumba yumba na kwa mwendo kasi nikawa najaribu kuikwepa ndipo iliponizoa na kunirusha huko.

Sijaumia sana lakini naendelea vizuri kidogo
Pole sana, jambo la kumshukuru Mungu kuepusha na mabaya zaidi.
 
Pole sana, nenda hospital kafanye check up kama una majeraha ya ndani

Ndio nataka niende kwaza kituon hapa hili nijue muafaka kwasababu askar ni wazembe sana mtuhumiwa anawatoloka mikononi mwao
 
Back
Top Bottom