Nimepata ajali jana maeneo ya Kawe

Nimepata ajali jana maeneo ya Kawe

Mungu amekutendea makuu. Mpango wa adui shetani ulikuwa ufe kabisa. Maana kazi kubwa ya shetani ni kuchinja, kuua na kuharibu.
Haya maneno kuna jamaa mmoja anaitwa Kiranga hapendi kusikia. Kwamfano kama hapa atakwambia hv kama kweli Mungu amemtendea makuu na anampenda jamaa hata hiyo ajali ya kugongwa angeiepusha. Jamaa ana logic akichambua facts. But mimi humwambia naongozwa na imani
 
Sikia simu ilikuwa na asilimia 2 nikazitumia kulikwest baada ya hapo simu ilizima dereva alipofika alipiga simu na lain ilikuwa kwenye simu ndogo

Na sina sababu ya kuongopa
Na huyo Bodaboda alijuaje ni Wewe umegongwa?

Mbili ilichukua muda gani kufika eneo la ajali ya PILI?

Tatu Matrafiki walikuwahi wewe uliyogongwa ktk eneo la tukio? Means matrafiki wapo fasta hivyo ee + breakdown uliikuta inaondoa Gari.

Umesema Mtuhumiwa alitoroshwa na Bodaboda.. Ulijuaje? Trafik muda huo alikuwa wapi ?

Nahitaj kujua tu sio kama Nabisha Mkuu..
 
Ndugu za mwamko,

Kwa upande wangu ni mbaya nimepata ajari jana wakati natokea Kidimbwi wakati narudi home.

Ilikuwa hivi, nimetoka pale naelekea kwenye parking; wakati natembea nikaona gari inakuja nyuma inayumba yumba na kwa mwendo kasi, nikawa najaribu kuikwepa ndipo iliponizoa na kunirusha huko.

Sijaumia sana lakini, naendelea vizuri kidogo.
Pole Sana .ukienda batani ajali ni sehemu ya Bata.Miungu yenu ilikulinda tu haijawa fatal accident.
Siku nyingine hasa Sikuku Bata lipige kwenye Grocery ya pale kwa jirani yako umuinue kiuchumi .Mara nyingi Bata la mbali kipindi Cha Sikukuu huwa hatari
 
AB21DFA2-FCA1-4466-B541-50325314070D.jpeg
 
Ndugu za mwamko,

Kwa upande wangu ni mbaya nimepata ajari jana wakati natokea Kidimbwi wakati narudi home.

Ilikuwa hivi, nimetoka pale naelekea kwenye parking; wakati natembea nikaona gari inakuja nyuma inayumba yumba na kwa mwendo kasi, nikawa najaribu kuikwepa ndipo iliponizoa na kunirusha huko.

Sijaumia sana lakini, naendelea vizuri kidogo.
kwahiyo unataka sisi tufanyeje bro? si uende ukamshukuru Mungu huko? sisi tunakusaidia nini mtu mwenyewe haujaumia hata kuumia?
 
Dereva alikuwa mlevi akawa amekimbia baada ya muda nilimuona boda boda ambaye alikuwa anamfukuza akanipeleka sehemu ambako gari lilonigonga limekwama mbele alipata ajali tena.

Kufika pale nikakutana na polisi wanapima nikatoa maelezo yangu ila cha ajabu yule dereva alitoroshwa pale na boda ambae amenionesha.
Ungechoma moto gari.
 
Ndugu za mwamko,

Kwa upande wangu ni mbaya nimepata ajari jana wakati natokea Kidimbwi wakati narudi home.

Ilikuwa hivi, nimetoka pale naelekea kwenye parking; wakati natembea nikaona gari inakuja nyuma inayumba yumba na kwa mwendo kasi, nikawa najaribu kuikwepa ndipo iliponizoa na kunirusha huko.

Sijaumia sana lakini, naendelea vizuri kidogo.

Kutembea usiku mkali ni hatari maana ni mda wa walevi, majambazi navibaka, labda kuwe na ulazima sana
 
Back
Top Bottom