Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,372
- 108,537
Umepata ajali au umegongwa?
Kagongwa kidimbwi....
Umepata ajali au umegongwa?
acha kihere here mrembo.tulizana sawa?Jamani tujifunze kuwafariji wenzetu wanapopatwa na shida. Hizi kejeli hazisaidii. Hiki unachokifanya unapanda mbegu, iko siku na wewe unapata matatizo watu eanakubeza pia.
Wewe pambania afya yako, hao polisi wasipoeleweka achana nao maana watakupotezea muda na kukuingiza gharama zisizo za msingi.Ndio nataka niende kwaza kituon hapa hili nijue muafaka kwasababu askar ni wazembe sana mtuhumiwa anawatoloka mikononi mwao
Ulinakili plate number za gari?Dereva alikuwa mrevi akawa amekimbia baada ya muda nilimuona boda boda ambaye alikuwa anamfukuza akanipeleka sehemu ambako gar lilo nigonga limekwama mbele alipata ajali tena kufika pale nikakutan na polisi wanapima nikatoa maelezo yangu hila cha ajabu yule dereva alitoroshwa pale na boda ambae amenionesha
Ulinakili plate number za gari?
Umeenda hospital? Fungua kesi polisi, atapatikana tu
Pole Sana Mkuu , ni vizuri ukamfatilia aliyekugonga mkuu ili atoe ushirikianoAsante hila mimi situmii pombe kabisa
Ndugu za mwamko,
Kwa upande wangu ni mbaya nimepata ajari jana wakati natokea kidimbwi wakati narudi home.
Ilikuwa hivi nimetoka pale naelekea kwenye parking wakati natembea nikaona gari inakuja nyuma inayumba yumba na kwa mwendo kasi nikawa najaribu kuikwepa ndipo iliponizoa na kunirusha huko.
Sijaumia sana lakini naendelea vizuri kidogo
Daaaahhh, nguvu ya pesa hii.Dereva alikuwa mrevi akawa amekimbia baada ya muda nilimuona boda boda ambaye alikuwa anamfukuza akanipeleka sehemu ambako gar lilo nigonga limekwama mbele alipata ajali tena kufika pale nikakutan na polisi wanapima nikatoa maelezo yangu hila cha ajabu yule dereva alitoroshwa pale na boda ambae amenionesha
Dogo mbona Kama unatuzuga tu akili?
Hii taarifa yako inatia ukakasi sana
huo ni mpungaa mzeee mkazie akupe hata lakiNdugu za mwamko,
Kwa upande wangu ni mbaya nimepata ajari jana wakati natokea Kidimbwi wakati narudi home.
Ilikuwa hivi, nimetoka pale naelekea kwenye parking; wakati natembea nikaona gari inakuja nyuma inayumba yumba na kwa mwendo kasi, nikawa najaribu kuikwepa ndipo iliponizoa na kunirusha huko.
Sijaumia sana lakini, naendelea vizuri kidogo.
Wewe pambania afya yako, hao polisi wasipoeleweka achana nao maana watakupotezea muda na kukuingiza gharama zisizo za msingi.
Nenda hospital broNdugu za mwamko,
Kwa upande wangu ni mbaya nimepata ajari jana wakati natokea Kidimbwi wakati narudi home.
Ilikuwa hivi, nimetoka pale naelekea kwenye parking; wakati natembea nikaona gari inakuja nyuma inayumba yumba na kwa mwendo kasi, nikawa najaribu kuikwepa ndipo iliponizoa na kunirusha huko.
Sijaumia sana lakini, naendelea vizuri kidogo.
Pole sana nduguNdugu za mwamko,

Wala usipoteze muda maana hawa Watu huwa hawakosekani, JF ni kama Mtaani, kuna Walevi, Wavuta bangi, Wahuni, Waliovurugwa tu na stress n.k.Jamani tujifunze kuwafariji wenzetu wanapopatwa na shida. Hizi kejeli hazisaidii. Hiki unachokifanya unapanda mbegu, iko siku na wewe unapata matatizo watu eanakubeza pia.
Angalia usije baki hukoNdio nataka niende kwaza kituon hapa hili nijue muafaka kwasababu askar ni wazembe sana mtuhumiwa anawatoloka mikononi mwao