Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,906
- 67,400
- Thread starter
- #101
Pole sana mkuu
Asante hila sikujua humu kuna watu wana moyo wa dhahabu
Pole sana mkuu
Kama hutumii pombe upo sehemu hatalishi sana,nchi haiwezi kuendelea namna hiyo ,sijui kwanini hukugongwa vizuri...Asante hila mimi situmii pombe kabisa
Kama hutumii pombe upo sehemu hatalishi sana,nchi haiwezi kuendelea namna hiyo ,sijui kwanini hukugongwa vizuri...
Bangi Ni hatari sana.Ungechoma moto gari.
Hii Ni Gari gani mkuu?Inabidi sasa hao wamiliki wa kidimbwi,waanze kuwasaidia gharama za matibabu mnapopata ajali.....
Mwenzako huyu naye aliingia chini ya daraja la mlalakuwa
Ova
View attachment 2459909
Pole sn mkuu, vipi ujachubuka?
Pole Sana, Kapige xrayNimechubuka mkonon na mguuni lakin mgongo ndio una uma na kifua
Pole Sana, Kapige xray
Tobaaaaaaaah!!!Inabidi sasa hao wamiliki wa kidimbwi,waanze kuwasaidia gharama za matibabu mnapopata ajali.....
Mwenzako huyu naye aliingia chini ya daraja la mlalakuwa
Ova
View attachment 2459909
Eti Kidimbwi[emoji23][emoji23],ila pole,kwani na wewe ulikuwa umelewa...?.Ndugu za mwamko,
Kwa upande wangu ni mbaya nimepata ajari jana wakati natokea Kidimbwi wakati narudi home.
Ilikuwa hivi, nimetoka pale naelekea kwenye parking; wakati natembea nikaona gari inakuja nyuma inayumba yumba na kwa mwendo kasi, nikawa najaribu kuikwepa ndipo iliponizoa na kunirusha huko.
Sijaumia sana lakini, naendelea vizuri kidogo.
Poleeeeeeh sanaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti Kidimbwi[emoji23][emoji23],ila pole,kwani na wewe ulikuwa umelewa...?.
Pole sana.
Ila uache kwenda kidimbwi kuna majini[emoji23][emoji23]
Pisi Kali, nywele ndefu, macho meupe kama hana damu.Wew usiniambie wanafanana vipi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dah [emoji1][emoji1]Umepata ajali au umegongwa?