Nimepata ajali jana maeneo ya Kawe

Nimepata ajali jana maeneo ya Kawe

Ndugu za mwamko,

Kwa upande wangu ni mbaya nimepata ajari jana wakati natokea Kidimbwi wakati narudi home.

Ilikuwa hivi, nimetoka pale naelekea kwenye parking; wakati natembea nikaona gari inakuja nyuma inayumba yumba na kwa mwendo kasi, nikawa najaribu kuikwepa ndipo iliponizoa na kunirusha huko.

Sijaumia sana lakini, naendelea vizuri kidogo.
Pole mkuu ungeenda hospitali ufanye check up kabisa
 
Bas mimi nawapenda nasikiaga jini akikupenda et anakupa utajili mwingi nipende bc niaze kutumia magar
Aah kumbe lile eneo ulilogongwa jana rudi tena leo sa tisa usiku. Utajuta kitambaa cheupe kichukue ukiweke kweny maji ukifika nyumbani
 
Aah kumbe lile eneo ulilogongwa jana rudi tena leo sa tisa usiku. Utajuta kitambaa cheupe kichukue ukiweke kweny maji ukifika nyumbani

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa mbona utoi maelezo yalio nyooka jini wangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa mbona utoi maelezo yalio nyooka jini wangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sa hiv huku majini ni giza Tanesco wamekata umeme.
Wakirudisha ntatoa maelezo kamili
 
Boda alinunuliwa kwa dau kubwa akasahau utu.

Na hapo itakua alikunanga kinoma, akamsifia boss mpya kua ni uzembe wa jamaa (wewe), anakaaje parking kindezi ndezi, tena ili kuua soo ungemmaliza kabisa (hapo kapewa 20k ya bia)
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom