Nimepata ajali jana maeneo ya Kawe

Nimepata ajali jana maeneo ya Kawe

Ndugu za mwamko,

Kwa upande wangu ni mbaya nimepata ajari jana wakati natokea Kidimbwi wakati narudi home.

Ilikuwa hivi, nimetoka pale naelekea kwenye parking; wakati natembea nikaona gari inakuja nyuma inayumba yumba na kwa mwendo kasi, nikawa najaribu kuikwepa ndipo iliponizoa na kunirusha huko.

Sijaumia sana lakini, naendelea vizuri kidogo.
Sasa we Kidimbwi ulienda kufanya nini? Usirudie tena kwenda huko.
 
Back
Top Bottom