Nimeokota peni ya ajabu

Nimeokota peni ya ajabu

Rudisha kwa hao wajamaa wakufafanunulia ni nini hivyo...
 
Jana katika matembezi yangu ya kutafuta AJIRA mitaa ya Indira Ghandi kule mnazi mmoja, nikapita sehemu moja inaitwa GoldePlaza, ndipo nikaokota peni iliyoandikwa "QUEEN'S GEM & JEWELLERY DAR ES SALAAM" hii peni ni nzito kiasi na ni ya kioo, nilibaki nayo na kurudi nayo hadi home Tabata.

Sasa jana usiku nilipatwa na mshangao baada ya kuona kile kioo kilichopo kwenye peni kutoa mwanga wa ajabu baada ya kuiweka juu ya meza, ilibidi niitoe na kuiweka kwenye bag, leo asubuhi nimeitoa na kuikagua vizuri na hadi sasa nimefikia hatua ya kuivunja na ndani nimekuta vijiwe vinang'aa sana ni kama almasi."sijui sina sifa za madini ya almasi ni zipi"

Kwa yoyote mwenye msaada katika hili anisaidie maana inaweza ikawa ndio nimetusua kwa style hii.

1469262387252-jpg.369687

Kuna mawili, huenda ni almasi au ni vioo tu. Kama ni almasi bado usiwe na mategemeo makubwa saana, maana zinaonekana ni ndogondogo sana. Na kwa vile zimeshachongwa, masonara wanajuana mikato yao, na most likely zinakuwa engraved na alama za sonara husika, hivyo ni rahisi kujulikana ni za nani. Zingekuwa uncut ni rahisi kuuza kwa wanunua vito wamejaa tele, lakini ni vidogovidogo sana bei yake si kivile. Lakini zinaanzaje kuwekwa kwenye pen? Huenda mwenye nazo ni smuggler na hiyo ni njia yake ya kuficha. Anyway, tupe mrejesho
 
Mleta uzi katokea mbavuni, naona uko alipo anafikiria jinsi ya kurudi katika uzi wake, naona atarudi kiufundi zaidi, let & see.
 
Utapeli UtapeliWork
Kesho atakuja mtu kulalamika katapeliwa hela hapa
Kama Upo akilini mwangu ,kesho mtu analia hapa scenario inaanzaga hivi hivi, uokote madini mpaka yana mark ya duka yalikotoka then ujiweke wazi kutaka ushauri kwenye mtandao ! Plz usitufanye wajinga
 
Jana katika matembezi yangu ya kutafuta AJIRA mitaa ya Indira Ghandi kule mnazi mmoja, nikapita sehemu moja inaitwa GoldePlaza, ndipo nikaokota peni iliyoandikwa "QUEEN'S GEM & JEWELLERY DAR ES SALAAM" hii peni ni nzito kiasi na ni ya kioo, nilibaki nayo na kurudi nayo hadi home Tabata.

Sasa jana usiku nilipatwa na mshangao baada ya kuona kile kioo kilichopo kwenye peni kutoa mwanga wa ajabu baada ya kuiweka juu ya meza, ilibidi niitoe na kuiweka kwenye bag, leo asubuhi nimeitoa na kuikagua vizuri na hadi sasa nimefikia hatua ya kuivunja na ndani nimekuta vijiwe vinang'aa sana ni kama almasi."sijui sina sifa za madini ya almasi ni zipi"

Kwa yoyote mwenye msaada katika hili anisaidie maana inaweza ikawa ndio nimetusua kwa style hii.

1469262387252-jpg.369687
Tupe mrejesho bhana mbona umetokomea mazima?
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Hapoana mkuu hizo pen ni za promo kutoka kwa hao majamaa ni masonara wapo hapa dar kariakoo mtaa wa indra kwenye jengo la golden plaza pitia Queens Jewellery so hizo pen ni kama bango lao la matamgazo tu na si vinginevyo.na humo ndani ni aina ya madini yenye mng'ao kama almasi na sio almasi na hayana thaman yeyote.

Mbona mleta mada kauliza na kapewa mifano ya kufanya kujua kama ni almasi, kajibu ndiyo kitu 'kimejipa', sasa tumuamini nani wewe, au mleta mada?
 
Kuna mawili, huenda ni almasi au ni vioo tu. Kama ni almasi bado usiwe na mategemeo makubwa saana, maana zinaonekana ni ndogondogo sana. Na kwa vile zimeshachongwa, masonara wanajuana mikato yao, na most likely zinakuwa engraved na alama za sonara husika, hivyo ni rahisi kujulikana ni za nani. Zingekuwa uncut ni rahisi kuuza kwa wanunua vito wamejaa tele, lakini ni vidogovidogo sana bei yake si kivile. Lakini zinaanzaje kuwekwa kwenye pen? Huenda mwenye nazo ni smuggler na hiyo ni njia yake ya kuficha. Anyway, tupe mrejesho
Kwani sonara anatumia yeye almasi zake? au anauza kwa wateja wake?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom