John Cannor
JF-Expert Member
- Jun 6, 2016
- 1,463
- 1,827
Ogopa sana tapeli.
Hiyo inaitwa 'USIJE MJINI'.
Hiyo inaitwa 'USIJE MJINI'.
tumsifu Yesu Kristu ndugu yangu😀😀😀Tunasubiri picha, umekosea kuifunja (ungeniuzia mimi).
cc mshana jrKati ya pesa na hiyo Almasi kuna kifo. Play it safe. Good luck
kakutumia kama nani huko bush?Huyu jamaa kanitumia PM ameniambia kuwa amepata PM zaidi ya 100, watu wanataka wafanye nae biashara, jaman huku ndani SI mchezo looh
Suala hapa sio tu ushirika bali kutoana Roho Live kwa ajili ya diamond ni kawaida sana . Pia kumbuka huyo muokotaji anaonekana kuwa mgeni kwenye madini. We call it blood diamondcc mshana jr
kwanini madini madini yanahusishwa na uchawi hasa wa damu ya mwanadamu?