Sababu ni kuificha na kuwapumbaza wezi na matapeli. Nilishashuhudia sana michezo ya dealers. Wengine hutengenezea tochi au kibiriti cha gas.Almasi kwenye peni!
Sababu ipi hasa?
Soma hapa Queens Jewellery habari zao hao huwa wanatengeneza vito vya madin kama almasi ,dhahabu nkJana katika matembezi yangu ya kutafuta AJIRA mitaa ya Indira Ghandi kule mnazi mmoja, nikapita sehemu moja inaitwa GoldePlaza, ndipo nikaokota peni iliyoandikwa "QUEEN'S GEM & JEWELLERY DAR ES SALAAM" hii peni ni nzito kiasi na ni ya kioo, nilibaki nayo na kurudi nayo hadi home Tabata.
Sasa jana usiku nilipatwa na mshangaobaada ya kuona kile kioo kilichopo kwenye peni kutoa mwanga wa ajabu baada ya kuiweka juu ya meza, ilibidi niitoe na kuiweka kwenye bag, leo asubuhi nimeitoa na kuikagua vizuri na hadi sasa nimefikia hatua ya kuivunja na ndani nimekuta vijiwe vinang'aa sana ni kama almasi."sijui sina sifa za madini ya almasi ni zipi"
Kwa yoyote mwenye msaada katika hili anisaidie maana inaweza ikawa ndio nimetusua kwa style hii.
![]()
Hapoana mkuu hizo pen ni za promo kutoka kwa hao majamaa ni masonara wapo hapa dar kariakoo mtaa wa indra kwenye jengo la golden plaza pitia Queens Jewellery so hizo pen ni kama bango lao la matamgazo tu na si vinginevyo.na humo ndani ni aina ya madini yenye mng'ao kama almasi na sio almasi na hayana thaman yeyote.Na hakika kabisa kuanzia sasa basi maisha yako yako hatarini.
Hii Kampuni ya wenye kalamu yao nahakika wameshaanza kukusaka.
Tahadhali, Kaa nayo angalau mwaka hivi ukatike na Usijibu PM Yoyote ya humu ndani.
Sababu ni kuificha na kuwapumbaza wezi na matapeli. Nilishashuhudia sana michezo ya dealers. Wengine hutengenezea tochi au kibiriti cha gas.
Unavunja ili iweje sasa. Hata hufikirii na utatembea na bahasha sana jinsi akili yako ilivyo ndogo.kaka nilikuwa sielewi nilijua ni maajabu ya wahindi
baada ya one week wataanza kumtafuta akatwe mkono yani hiyo ndo karibu yaoDaah Nakusikitikia ndugu yangu ndio ushajiunga na illuminant
Bro, ksha tujulishe ni madini gani?najiandaa hapa nataka niende
Kwani yeye alikuwa anatembea bure? (jamani acheni dharau kwa wenzenu).Fanya hivo mkuu, uje utupe hata za vocha humu.....hakika mtembea bure si sawa na mkaa bure
Acha upuuzi, toka lini kalamu iwe jini?ahaaaaaaaaa, jini ilo kuwa makini litoe ndani ya nyumba ni jini jike ilo kaka kama ujaoa, umepata mke!