khamis kilo
JF-Expert Member
- May 23, 2016
- 1,201
- 1,497
- Thread starter
- #21
sawa mkuuChukua kipande kimoja then kiweke kwenye kioo cha kujitazamia, ujaribu kama unakikwaruza juu yake, kikipasuka hicho kioo bas itakuwa almasi
sawa mkuuChukua kipande kimoja then kiweke kwenye kioo cha kujitazamia, ujaribu kama unakikwaruza juu yake, kikipasuka hicho kioo bas itakuwa almasi
picha tayari nduguPicha
mkuu ushatoka kwenye MAKAPUKU FORUM..hongera!ndio nasubiri ndugu,hivi vidude vimekaa kama almasi alafu nikiviweka juani vinatoa sana mkali wa rangi ya blue blue
ndio hivyo hivyo kabisa ndugu yanguMkuu zinaendana na hiyo kitu hapo juu
Hahahaha!Arrrghhhhh...
mbona unacheka ndugu?Hahahaha!
daaaah!!! ngoja niende kakaUshamake life, hiyo ni almasi mkuu, chukua kadude kamoja nenda nako wanapouzia madini then sikia watakwambia nini lakini kuwa makini na matapeli wasije kukupora
kwanin nini?Hivi ni kwanini lakini?
kaka kitu kimejipa hukuChukua kipande kimoja then kiweke kwenye kioo cha kujitazamia, ujaribu kama unakikwaruza juu yake, kikipasuka hicho kioo bas itakuwa almasi