Black fire
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 755
- 1,324
Nakushauri pia,tulia,jioni rudi mwambie Jirani kumbe ile peni ni Urembo tuuu,pia,kwenda kuyauza kwa sasa hivi subiri kwanza,tulia,maana waliyoyapoteza bila shaka wanayatafuta hadi maeneo watu wanayouzia madini,hivyo waweza kwenda kwa haraka nao wakakudaka,jipe miezi,then kauze kidogodogo,pia acha kushirikisha watu,maana pesa na madini vinaua sana,bila kujali ni Ndugu au mtu baki,pia kuwa makini na PM
Ushauri mzur sana. Binadamu sio wa kuamini. Unaweza kushangaa hata huyo jirani akamfanyia umafia. Na huyo jirani anaweza kupayuka akamuingiza kwny matatizo. Kwa hali hyo ningekuwa mm ningehama kwa muda mtaa bila taarifa kwa mtu yeyote.