Nimeokota peni ya ajabu

Nimeokota peni ya ajabu

Inaweza kuwa kama hii kitu, inauzwa huko China dolla moja tu:

1469310085619.jpg
1469310104013.jpg
1469310120699.jpg
1469310128429.jpg
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Simu Yangu nikikupa ukajirekodi halafu unirudishie utakubali? kalamu Ina Fanya confidential
Unaweza kunirekodi bila ya kunipa simu yako (microphone za simu za kisasa are very powerful bro). Ukikaa karibu yangu tu unaweza kunirekodi bila ya matatizo.
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Unaweza kunirekodi bila ya kunipa simu yako (microphone za simu za kisasa are very powerful bro). Ukikaa karibu yangu tu unaweza kunirekodi bila ya matatizo.
Naona tumetoka kwny Almasi na Peni ya ajabu tumeingia kwny vifaa vya kurekodi....aya wakuu tupeni elimu akat tunasubr Mrejesho wa Almasi
 
Nimeshangazwa na watu wanaokaribia 200.
Jee watu Hawa hawendi misikitini au makanisani?
Jee watu Hawa hawasomi mafundisho ya dini Yao?
Jee watu Hawa wanajua ila tamaa tuu ya maisha?
Jee watu Hawa hawajui na hawataki kujua?
Ni maajabu makubwa sana kwa binaadamu anaefikiria Ana akili timamu kisha kwa akili anayoifikiria akaweza kumshauri mwenye akili Kama zake, au ziko juu kuliko zake au zipo chini kuliko zake.
Hivi binadaamu anafikia kutokwa na tuu na IMAANI kwa binaadamu mwenzake!
Turudi kwa muokotaki
Umeokota peni na peni yenyewe kwa bahati nzuri imeandikwa jina la duka ambayo ndio inapotokea mwanzo.
Kama wewe ni muislam Sheria ya kiislam unapookota kitu unatakiwa ukitangazie kwa muda wa mwaka mmoja ubaki nacho kwa kufikiria huenda mwenyewe akatokea.
Sasa wewe unavyosema umeokota Jana Leo ushavunja na kutaka kujua nini kimo ndani, ukaja jamii forum kutaka ushauri,
Wewe huna akili wewe? Peni imeandikwa kwanini usifikirie ukarejeha kwa wenye duka au Kama unaogopa kurejesha mwenyewe Mbona unngetaka ushauri vipi peni ufike kwa mwenye duka?
Peni ikiwa ya kawaida au ya almasi , chochote unachookota usiingie na tamaa na kutokwa na imani na kukifanya chako. USITUMIE MSEMO WA WASEMAO CHA KUOKOTA SI CHA KUIBA
Usiwe na maamuzi ya haraka kabla ya kufikiria kufanya nini unafanya.
Kwa wachangiaji
Hivi wa TANZANIA wenzangu tunaposema tuna IMANI , Imani yetu ipo kwenye nini haswa?
Yaani fikiria hiyo peni ni yako tena ya "ALMAS" ikisha imekupotea na ni mwanaJF unakuta watu wametoa mchango Kama unavyoona ungejiskiaje?
Kwa hivyo Yale maumivu anayoyapata mwenzako fikiria kuna siku na wewe unaweza kupata Yale Yale .
Tunapochangia tufikirie nini tuna changia , tusiweke tamaa sana kupita kiasi.
Hiyo inawezekana ni kalamu tuu ya kawaida si lolote si chochote ni mtu kaidondosha basi wala hakujali Kama kaiangusha.
Akili sijui zimeruka na Imani zimwpotea kwa ajili ya kutofuata maamrisho ya dini au umaskini umetuzidia hatufikirii chochote.
Kwa kweli nimesoma mengi na kuona kuwa watu roho zao zimebadilika sana na ni mbaya sana.
Hebu turudini kwenye MAFUNZO ya dini kuziweka Imani ZETU sawa
 
hizo peni au key holders, maduka ya dhahabu huwa wanawapa wateja wao kama zawadi, lakini wateja wengi hawapendi kwenda nazo kwao kwa ajili ya ushirikina, hivyo huvitupa au kuwapa watu wengine njiani.
sio vizuri kuchukua zawadi kutoka kwa sonara kama umenunua kitu kwake!
Yaani ni wachawi.?
 
Nimeshangazwa na watu wanaokaribia 200.
Jee watu Hawa hawendi misikitini au makanisani?
Jee watu Hawa hawasomi mafundisho ya dini Yao?
Jee watu Hawa wanajua ila tamaa tuu ya maisha?
Jee watu Hawa hawajui na hawataki kujua?
Ni maajabu makubwa sana kwa binaadamu anaefikiria Ana akili timamu kisha kwa akili anayoifikiria akaweza kumshauri mwenye akili Kama zake, au ziko juu kuliko zake au zipo chini kuliko zake.
Hivi binadaamu anafikia kutokwa na tuu na IMAANI kwa binaadamu mwenzake!
Turudi kwa muokotaki
Umeokota peni na peni yenyewe kwa bahati nzuri imeandikwa jina la duka ambayo ndio inapotokea mwanzo.
Kama wewe ni muislam Sheria ya kiislam unapookota kitu unatakiwa ukitangazie kwa muda wa mwaka mmoja ubaki nacho kwa kufikiria huenda mwenyewe akatokea.
Sasa wewe unavyosema umeokota Jana Leo ushavunja na kutaka kujua nini kimo ndani, ukaja jamii forum kutaka ushauri,
Wewe huna akili wewe? Peni imeandikwa kwanini usifikirie ukarejeha kwa wenye duka au Kama unaogopa kurejesha mwenyewe Mbona unngetaka ushauri vipi peni ufike kwa mwenye duka?
Peni ikiwa ya kawaida au ya almasi , chochote unachookota usiingie na tamaa na kutokwa na imani na kukifanya chako. USITUMIE MSEMO WA WASEMAO CHA KUOKOTA SI CHA KUIBA
Usiwe na maamuzi ya haraka kabla ya kufikiria kufanya nini unafanya.
Kwa wachangiaji
Hivi wa TANZANIA wenzangu tunaposema tuna IMANI , Imani yetu ipo kwenye nini haswa?
Yaani fikiria hiyo peni ni yako tena ya "ALMAS" ikisha imekupotea na ni mwanaJF unakuta watu wametoa mchango Kama unavyoona ungejiskiaje?
Kwa hivyo Yale maumivu anayoyapata mwenzako fikiria kuna siku na wewe unaweza kupata Yale Yale .
Tunapochangia tufikirie nini tuna changia , tusiweke tamaa sana kupita kiasi.
Hiyo inawezekana ni kalamu tuu ya kawaida si lolote si chochote ni mtu kaidondosha basi wala hakujali Kama kaiangusha.
Akili sijui zimeruka na Imani zimwpotea kwa ajili ya kutofuata maamrisho ya dini au umaskini umetuzidia hatufikirii chochote.
Kwa kweli nimesoma mengi na kuona kuwa watu roho zao zimebadilika sana na ni mbaya sana.
Hebu turudini kwenye MAFUNZO ya dini kuziweka Imani ZETU sawa

Dini imekubrainwash balaa, kwani watangulizi wako walikuwa wanaujua uislam? Usipende kuweka mambo ya dini kila mahali
 
Mbona una hasira? Au ni wewe uliyepoteza?
 
Yaani ni wachawi.?
Sifahamu kama wewe ni mteja wa maduka haya....lakini kuna vitu ukiingia ndani ya maduka yao nilishuhudia ....wewe nenda kaingie utaniambia haswa ukinunua vitu vya mali nyingi. Na sio kama nawahukumu. Hapana ndiyo njia yao yakupata utajiri. ...
 
Nimeshangazwa na watu wanaokaribia 200.
Jee watu Hawa hawendi misikitini au makanisani?
Jee watu Hawa hawasomi mafundisho ya dini Yao?
Jee watu Hawa wanajua ila tamaa tuu ya maisha?
Jee watu Hawa hawajui na hawataki kujua?
Ni maajabu makubwa sana kwa binaadamu anaefikiria Ana akili timamu kisha kwa akili anayoifikiria akaweza kumshauri mwenye akili Kama zake, au ziko juu kuliko zake au zipo chini kuliko zake.
Hivi binadaamu anafikia kutokwa na tuu na IMAANI kwa binaadamu mwenzake!
Turudi kwa muokotaki
Umeokota peni na peni yenyewe kwa bahati nzuri imeandikwa jina la duka ambayo ndio inapotokea mwanzo.
Kama wewe ni muislam Sheria ya kiislam unapookota kitu unatakiwa ukitangazie kwa muda wa mwaka mmoja ubaki nacho kwa kufikiria huenda mwenyewe akatokea.
Sasa wewe unavyosema umeokota Jana Leo ushavunja na kutaka kujua nini kimo ndani, ukaja jamii forum kutaka ushauri,
Wewe huna akili wewe? Peni imeandikwa kwanini usifikirie ukarejeha kwa wenye duka au Kama unaogopa kurejesha mwenyewe Mbona unngetaka ushauri vipi peni ufike kwa mwenye duka?
Peni ikiwa ya kawaida au ya almasi , chochote unachookota usiingie na tamaa na kutokwa na imani na kukifanya chako. USITUMIE MSEMO WA WASEMAO CHA KUOKOTA SI CHA KUIBA
Usiwe na maamuzi ya haraka kabla ya kufikiria kufanya nini unafanya.
Kwa wachangiaji
Hivi wa TANZANIA wenzangu tunaposema tuna IMANI , Imani yetu ipo kwenye nini haswa?
Yaani fikiria hiyo peni ni yako tena ya "ALMAS" ikisha imekupotea na ni mwanaJF unakuta watu wametoa mchango Kama unavyoona ungejiskiaje?
Kwa hivyo Yale maumivu anayoyapata mwenzako fikiria kuna siku na wewe unaweza kupata Yale Yale .
Tunapochangia tufikirie nini tuna changia , tusiweke tamaa sana kupita kiasi.
Hiyo inawezekana ni kalamu tuu ya kawaida si lolote si chochote ni mtu kaidondosha basi wala hakujali Kama kaiangusha.
Akili sijui zimeruka na Imani zimwpotea kwa ajili ya kutofuata maamrisho ya dini au umaskini umetuzidia hatufikirii chochote.
Kwa kweli nimesoma mengi na kuona kuwa watu roho zao zimebadilika sana na ni mbaya sana.
Hebu turudini kwenye MAFUNZO ya dini kuziweka Imani ZETU sawa
Aliepata kapata , aliekosa kakosa, usisahua PIA kuwa Mtembea bure SI sawa na mkaa bure huenda akaokota
 
Jana katika matembezi yangu ya kutafuta AJIRA mitaa ya Indira Ghandi kule mnazi mmoja, nikapita sehemu moja inaitwa GoldePlaza, ndipo nikaokota peni iliyoandikwa "QUEEN'S GEM & JEWELLERY DAR ES SALAAM" hii peni ni nzito kiasi na ni ya kioo, nilibaki nayo na kurudi nayo hadi home Tabata.

Sasa jana usiku nilipatwa na mshangao baada ya kuona kile kioo kilichopo kwenye peni kutoa mwanga wa ajabu baada ya kuiweka juu ya meza, ilibidi niitoe na kuiweka kwenye bag, leo asubuhi nimeitoa na kuikagua vizuri na hadi sasa nimefikia hatua ya kuivunja na ndani nimekuta vijiwe vinang'aa sana ni kama almasi."sijui sina sifa za madini ya almasi ni zipi"

Kwa yoyote mwenye msaada katika hili anisaidie maana inaweza ikawa ndio nimetusua kwa style hii.

1469262387252-jpg.369687
Pole Sana bwanakaka. Hizo sio diamonds mara nyingi huwa wanaweka synthetics au glasses zinazochongwa na kufananishwa na hayo madini. Wanaweza kuweka Zircon Kama wakitaka kurembesha zaidi. Sikatai kwamba kuna pen ambazo huwekewa real diamonds lakini sio kwa style hii ya kuzimimina tu. Mara nyingi huwa wanazi set kwenye kinasio cha kalamu kwenye mfuko ili kionekane.
Hata hivyo fanya kipimo kidogo tu
1.weka maji kwenye kiganja chako
2.weka hicho kipande uhakikishe kimezama
3.angalia Kama bado Kina glitter au kung'aa hata baada ya kuingiza majini
4.kama kitaendelea kung'aa basi ni pm
5.kikifubaa basi sio diamond
 
Attachments

  • IMG_20160714_094521.jpg
    IMG_20160714_094521.jpg
    250 KB · Views: 62

Similar Discussions

Back
Top Bottom