Gunst
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 3,137
- 6,027
Ni sawa na kuokota hela halafu uzichanechane.kwanin nini?
Vitu vingine muwe mnauliza kama hamuelew... Aaarghhh
Ni sawa na kuokota hela halafu uzichanechane.kwanin nini?
najiandaa hapa nataka niendendio faida ya kutembea tembea tu mjini hata kama huna ajira kuliko kukaa tu home, urudi kutupa mrejesho
ndio hivyo kaka,najiandaa nowNi sawa na kuokota hela halafu uzichanechane.
Vitu vingine muwe mnauliza kama hamuelew... Aaarghhh
umeokota jini ndugu yangu pole sananilikuwa nataka kujua kilichopo ndani
Sure?kaka kitu kimejipa huku
Nothing bad than minerals and money, death is alongside with them!!!Alieipoteza anaweza kuitafuta kwa njia yoyote. Angalia usiingie mkenge.