khamis kilo
JF-Expert Member
- May 23, 2016
- 1,201
- 1,497
- Thread starter
- #61
duuh! sure sayKuwa makini kijana pesa na madini vinaua, kama kweli ni almas waliopoteza wanaweza kukutafuta for any how, take care, mafia is a killing game for money!!!!
duuh! sure sayKuwa makini kijana pesa na madini vinaua, kama kweli ni almas waliopoteza wanaweza kukutafuta for any how, take care, mafia is a killing game for money!!!!
inshallahFanya hivo mkuu, uje utupe hata za vocha humu.....hakika mtembea bure si sawa na mkaa bure
haliwezi kuwa jiniumeokota jini ndugu yangu pole sana
mmmh!!! anything can happenahaaaaaaaaa, jini ilo kuwa makini litoe ndani ya nyumba ni jini jike ilo kaka kama ujaoa, umepata mke!
sure kakaSure?
sawa kakaNi almas hizo bro ukitaka soko nicheki inbox zina bei nzuri
kitu chochote kinaweza kutokea,ngoja niende then nakuja na mrejeshoHayo yatakuwa ni madini ya risasi (Lead) na ni hatari sana kwa afya yako. Otherwise watu wengine wanatumia pen kama hiyo kufugia majini.
Wahi kanisani kwetu ufanyiwe maombi kabla mabaya hayajakukuta...
kweli kaka,ngoja niende alafu nitarudi kuwajuzaKuwa makini kijana pesa na madini vinaua, kama kweli ni almas waliopoteza wanaweza kukutafuta for any how, take care, mafia is a killing game for money!!!!
rizikiKama namuona vile aliye poteza jinsi anavyo haaa haaa Muda huu,
Usikurupuke utaweka maisha yako rehani kwa mda nfupi sanakitu chochote kinaweza kutokea,ngoja niende then nakuja na mrejesho
Poakweli kaka,ngoja niende alafu nitarudi kuwajuza