West standard
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 441
- 649
Pole sana!Habari zenu?
Sikia tu kwa mtu nimemzika mama angu siku kadhaa zilizopita. Hii hali inayonipata siielewi, mikono inatetemeka, moyo unauma, kichwa kinauma sana, miguu haina nguvu n.k n.k.
Mniombee haya mapito nipite salama.
Haijalishi umeniacha bado nakupenda sana mama yangu kipenzi.[emoji24]
Nakadori Mambo ya Mungu ni zaidi ya mwandamu.Mungu anao mpango nawe.usije ukafika mahali pa kusahau yale mema yote ambayo Mungu alikwishakufanyia.Kifo kipo,ni jambo ambalo haliepukiki,ila uchungu pia upo kwa sababu sisi ni binadamu.Ila Muombe Mungu akupe faraja ili uweze kupita salama kwa kuingia msimu huo mpya wa maisha bila ya mama.Habari zenu?
Sikia tu kwa mtu nimemzika mama angu siku kadhaa zilizopita. Hii hali inayonipata siielewi, mikono inatetemeka, moyo unauma, kichwa kinauma sana, miguu haina nguvu n.k n.k.
Mniombee haya mapito nipite salama.
Haijalishi umeniacha bado nakupenda sana mama yangu kipenzi.[emoji24]
Pole sana. Tunakuombea Mungu akupe uwepesi upite salama mtihani mgumu ulionao.Habari zenu?
Sikia tu kwa mtu nimemzika mama angu siku kadhaa zilizopita. Hii hali inayonipata siielewi, mikono inatetemeka, moyo unauma, kichwa kinauma sana, miguu haina nguvu n.k n.k.
Mniombee haya mapito nipite salama.
Haijalishi umeniacha bado nakupenda sana mama yangu kipenzi.[emoji24]
Pole sana mkuuHabari zenu?

Habari zenu?

wewe ni lulu diva
Pole sana...Alivyokuwepo mama yangu nilikuwa nikipata Mia mbili namtumia. Leo hayupo nikikosa Mia mbili nalia Bora mama angekuwepo wakati pengine asingenisaidia kupata iyo Mia mbili. Ila machozi yanatoka balaa. Ni mwaka Ila ni Kama Jana.
Pole sana mkuu. Mungu atatuvushaI feel your pain. Nimemzika mamangu kipindi kirefu sasa lakini maombolezo hayaishi moyoni. Mara naota, mara nafikiria... Kuna wakati naota ndio amekufa, basi nikiamka najikuta natoka machozi halisi - natoka machozi halisi usingizini. Mungu akupe nguvu.