Same here ...Pole sana,ni hali ninayoupitia pia,nimepiteza wangu mwaka jana, mpaka leo naona kama ni jana,sometimes i wish nisingekiwepo katika zile hatua zake za mwisho,yale matukio yananiumiza mpaka leo,kuna njia na maeneo nilipita siku hiyo wakati nampeleka hospitali at her last moments!nikoyapita mwili unasisimka