mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 20,456
- 36,471
Habari zenu?
Sikia tu kwa mtu nimemzika mama angu siku kadhaa zilizopita. Hii hali inayonipata siielewi, mikono inatetemeka, moyo unauma, kichwa kinauma sana, miguu haina nguvu n.k n.k.
Mniombee haya mapito nipite salama.
Haijalishi umeniacha bado nakupenda sana mama yangu kipenzi.[emoji24]
Pole sana Nakadori
Mungu akupe faraja ya pekee wewe na familia yako kipindi hiki kigumu unachopitia.
Wafilipi 3: 20-21
Lakini uraia wetu ni mbinguni. Na tunatarajia Mwokozi kutoka huko, Bwana Yesu Kristo, ambaye, kwa nguvu inayowezesha kuleta kila kitu chini ya udhibiti wake, atabadilika miili yetu ya chini ili wawe kama mwili wake wa utukufu.
Rest well mamaNakadori🙏