Nimemzika na mama mzazi

Nimemzika na mama mzazi

Habari zenu?

Sikia tu kwa mtu nimemzika mama angu siku kadhaa zilizopita. Hii hali inayonipata siielewi, mikono inatetemeka, moyo unauma, kichwa kinauma sana, miguu haina nguvu n.k n.k.

Mniombee haya mapito nipite salama.

Haijalishi umeniacha bado nakupenda sana mama yangu kipenzi.[emoji24]
Pole Sana mkuu jitahidi kusali Sana R.i.p mama yetu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Habari zenu?

Sikia tu kwa mtu nimemzika mama angu siku kadhaa zilizopita. Hii hali inayonipata siielewi, mikono inatetemeka, moyo unauma, kichwa kinauma sana, miguu haina nguvu n.k n.k.

Mniombee haya mapito nipite salama.

Haijalishi umeniacha bado nakupenda sana mama yangu kipenzi.[emoji24]
Pole sana. Ni huzuni lakini hakuna la kufanya. Ila dunia ya sasa kuna watu wengine vifo vya wazazi/wenza wao ni furaha yao japo hawaonyeshi kwa wazi. Kuna dada mmoja baba yake alikuwa na fremu za kupanga. Ikawa kwa bahati mbaya yule baba alikuwa mtu wa kilevi sana. Basi yule dada kila siku alikuwa anaombea baba yake afe kabla hajauza zile fremu. Na kweli siku aliyokufa yule baba, mwadada alifurahi sana sana.
 
Nilimzika mama yangu Miaka 29 iliyopita, nikikua ni mtoto mdogo na nilikua wa mwisho Kwake, Nililelewa na mama wa wenzangu nimeona umuhimu wa mama mzazi asikwambie mtu, unakuta unapitia magumu pamoja na ukubwa wako unasema angekuwepo mama yangu yasingetokea haya Ingawa asingeweza kunisaidia ki fedha ila angenishauri,

Ila Mungu afanyapo jambo anakusudio lake
 
Habari zenu?

Sikia tu kwa mtu nimemzika mama angu siku kadhaa zilizopita. Hii hali inayonipata siielewi, mikono inatetemeka, moyo unauma, kichwa kinauma sana, miguu haina nguvu n.k n.k.

Mniombee haya mapito nipite salama.

Haijalishi umeniacha bado nakupenda sana mama yangu kipenzi.[emoji24]
Pole rafiki mungu akupe nguvu na uvumilivu,taratibu sana utazoea hata mm nilimpoteza mama yangu,2019 ilinichukua karibu miezi mitatu,kila siku naumwa na machozi haya kuniisha,kila niki mkumbuka hata kama nipo safarini machozi yalinitoka hiyo habari ki ukweri kabisa isikie kwa mwenzako tu.
 
Polw sana na Mungu akutie nguvu na ujasiri wa kuyahimili mapito haya.
 
Habari zenu?

Sikia tu kwa mtu nimemzika mama angu siku kadhaa zilizopita. Hii hali inayonipata siielewi, mikono inatetemeka, moyo unauma, kichwa kinauma sana, miguu haina nguvu n.k n.k.

Mniombee haya mapito nipite salama.

Haijalishi umeniacha bado nakupenda sana mama yangu kipenzi.[emoji24]
msahau tu hakuna namna, u better get out from that caurge
 
Pole sana. Busara inatuelekeza ni bora mara 100 mtoto kumzika mzazi,maana inaumiza mara 1000 mzazi kumzika mtoto wake.
 
Habari zenu?

Sikia tu kwa mtu nimemzika mama angu siku kadhaa zilizopita. Hii hali inayonipata siielewi, mikono inatetemeka, moyo unauma, kichwa kinauma sana, miguu haina nguvu n.k n.k.

Mniombee haya mapito nipite salama.

Haijalishi umeniacha bado nakupenda sana mama yangu kipenzi.[emoji24]
Pole sana Nakadori nimapito achia moyo lia vyakutosha

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Pole s
Habari zenu?

Sikia tu kwa mtu nimemzika mama angu siku kadhaa zilizopita. Hii hali inayonipata siielewi, mikono inatetemeka, moyo unauma, kichwa kinauma sana, miguu haina nguvu n.k n.k.

Mniombee haya mapito nipite salama.

Haijalishi umeniacha bado nakupenda sana mama yangu kipenzi.[emoji24]
Pole sana kwa mapitio magumu, Mungu atakuinua na uyasahau magumu unayopitia
 
Pole sana NAKADORI .Najua unayopitia kwa sasa.Mimi nilimpoteza mama yangu 30/7/2021 na jumamosi iliyopita ndio tulikuwa tunajengea kaburi lake.Kiukweli itachukua muda mrefu sana kwa upande wangu machungu ya kumpoteza mama yafutike,japo najua haitawezekana kamwe.Faraja pekee niliyonayo ni mke wangu,baba na ndugu zangu lakini pengo la mtu hususani Mama halizibiki.Kuna wakati nikikumbuka nyakati zile nzuri tulizokuwa nae pamoja najikuta nalia tu.Baada ya kifo chake mpaka sasa,sijawa sawa kabisa.NAMUOMBA MUNGU ANIIMARISHE KILA KUKICHA,ÑA NAKUOMBEA IWE HIVYO NA KWAKO PIA NDUGU!
 
Habari zenu?

Sikia tu kwa mtu nimemzika mama angu siku kadhaa zilizopita. Hii hali inayonipata siielewi, mikono inatetemeka, moyo unauma, kichwa kinauma sana, miguu haina nguvu n.k n.k.

Mniombee haya mapito nipite salama.

Haijalishi umeniacha bado nakupenda sana mama yangu kipenzi.[emoji24]
Mwenyezi Mungu akutie nguvu..pole sana.
Apumzike kwa amani.
 
Pole sana mpendwa..Mungu akutangulie
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom