Nimemzika na mama mzazi

Nimemzika na mama mzazi

Pole sana mpendwa,jipe moyo mkuu Mungu anaweza.Binafsi miaka nane iliyopita nilifiwa na mume baada ya kukaa kwenye ndoa miaka miwili tu.Akaniachia mtoto mdogo wa miaka miwili kamili na wakt huo nlikua kwenye 20's.Nilichanganyikiwa kabisa hadi nikawekwa kwenye uangalizi ndani ya mwaka mmoja.

Bado sijasahau na haipit mwez bila kumlilia na kumkumbuka.MUNGU AENDELEE KUKUTUNZA.KIFO NI NJIA YETU SOTE.
 
Habari zenu?

Sikia tu kwa mtu nimemzika mama angu siku kadhaa zilizopita. Hii hali inayonipata siielewi, mikono inatetemeka, moyo unauma, kichwa kinauma sana, miguu haina nguvu n.k n.k.

Mniombee haya mapito nipite salama.

Haijalishi umeniacha bado nakupenda sana mama yangu kipenzi.[emoji24]
Pole sana mkuu. I'm sending my utmost condolences to your family. May her soul be at peace
 
Habari zenu?

Sikia tu kwa mtu nimemzika mama angu siku kadhaa zilizopita. Hii hali inayonipata siielewi, mikono inatetemeka, moyo unauma, kichwa kinauma sana, miguu haina nguvu n.k n.k.

Mniombee haya mapito nipite salama.

Haijalishi umeniacha bado nakupenda sana mama yangu kipenzi.[emoji24]
Pole sana kwa kuondokewa...
 
Ashukuriwe Mungu atupaye kushinda katika yote ...
Mbarikiwe wote mnaotumia mda wenu kutufariji...
Ninajiskia sipo peke yangu
 
Habari zenu?

Sikia tu kwa mtu nimemzika mama angu siku kadhaa zilizopita. Hii hali inayonipata siielewi, mikono inatetemeka, moyo unauma, kichwa kinauma sana, miguu haina nguvu n.k n.k.

Mniombee haya mapito nipite salama.

Haijalishi umeniacha bado nakupenda sana mama yangu kipenzi.[emoji24]
Nakuelewa sana maana hakuna kama mama nimepitia hali hiyo yani Mungu akusaidie fanya ibada utakusaidia sana soma biblia itakupa tumaini....
 
Habari zenu?

Sikia tu kwa mtu nimemzika mama angu siku kadhaa zilizopita. Hii hali inayonipata siielewi, mikono inatetemeka, moyo unauma, kichwa kinauma sana, miguu haina nguvu n.k n.k.

Mniombee haya mapito nipite salama.

Haijalishi umeniacha bado nakupenda sana mama yangu kipenzi.[emoji24]
Pole,upone haraka tumia nyungu na dawa za dukani
 
TUNAOMBA CAG ACHUNGUZE UHALALI WA MABILIONI YALIYOMTIBU SPIKA INDIA

Inasemeka Spika Ndugai alilipwa zaidi ya shilingi bilioni mbili (kwa hela za kigeni) kwa ajili ya matibabu India. Hicho ni kiasi kikubwa mno kwa ajili ya matibabu tu hata angekaa India mwaka mzima.

Mimi na baadhi ya Watanzania wenzangu tunaomba CAG afanye uchunguzi tujue kama malipo hayo yalikuwa ni halali au la maana zimetokana na kodi zetu. Kama hayo malipo sio halali, Ndugai aachie ngazi na hatua za kisheria zichukuliwe dhidi yake maana hakuna yeyote katika nchi hii ambaye yuko juu ya sheria.
 
Nakadori
Sina maneno ya kusema zaidi ya kukwambia uvumilie hiki kipindi kigumu sana.Najua maneno yangu hayataweza kukufariji kwa sababu kuna uchungu mkubwa kumpoteza mtu aliyekuleta duniani na kukujenga uwe mtu uliye leo.
 
Habari zenu?

Sikia tu kwa mtu nimemzika mama angu siku kadhaa zilizopita. Hii hali inayonipata siielewi, mikono inatetemeka, moyo unauma, kichwa kinauma sana, miguu haina nguvu n.k n.k.

Mniombee haya mapito nipite salama.

Haijalishi umeniacha bado nakupenda sana mama yangu kipenzi.[emoji24]
Poleni sana! Apumzike kwa Amani!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom