ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 8,139
- 17,612
Pole mkuu
bila shaka wewe ni KE,
By the way,vipi kama kungekuwa na chance wewe ufe kwa niaba yake je ungekubali??
Najua jibu ni No,basi take aesy kifo ni mzunguko Leo yeye kesho kwako.
Hii coment nilikuwa naisubiri sana [emoji1]pole sana, wacha mjomba akufariji vyema
Pole sanaWapendwa asanteni...ila spo vzur. Mniombee
Pole sana Nakadori,Kila jambo linalotokea ktk maisha yetu huwa lina makisudi fulani.Fahamu kuwa MUNGU wetu ni mwema sana na huwa anatuwazia mema daima.Hivyo jipe Moyo muombe MUNGU akupe nguvu na uvumilivu ktk kipindi hiki kigumu.Habari zenu?
Sikia tu kwa mtu nimemzika mama angu siku kadhaa zilizopita. Hii hali inayonipata siielewi.... mikono inatetemeka, moyo unauma, kichwa kinauma sana, miguu haina nguvu n.k n.k.
Mniombee haya mapito nipite salama.
Haijalishi umeniacha bado nakupenda sana mama yangu kipenzi.[emoji24]
Pole sana Mkuu.Alivyokuwepo mama yangu nilikuwa nikipata Mia mbili namtumia. Leo hayupo nikikosa Mia mbili nalia Bora mama angekuwepo wakati pengine asingenisaidia kupata iyo Mia mbili. Ila machozi yanatoka balaa. Ni mwaka Ila ni Kama Jana.
MUNGU ni mwema sana atakulinda na kukupa faraja.Wapendwa asanteni...ila spo vzur. Mniombee
Hapana mkuu. Ila misiba imeongozana kwa maradhi tofauti.
Mwenzako ni karibuni hivyo kwaka uni za kisaikolojia bado moyo unaendelea kupumua uchungu taratibu utaisha, ila wewe kuna vicious circle umeizalisha kwa kuunganisha matukio ambayo itakuletea madhara, uchungu sharti uwe na ukomo kwa afya ya akili, sio mwaka mzima unalilia awe ni marehemu ama mpenzi aliyekusaliti,Alivyokuwepo mama yangu nilikuwa nikipata Mia mbili namtumia. Leo hayupo nikikosa Mia mbili nalia Bora mama angekuwepo wakati pengine asingenisaidia kupata iyo Mia mbili. Ila machozi yanatoka balaa. Ni mwaka Ila ni Kama Jana.
Mungu akutie nguvu na kukuganga majeraha!!! Kufiwa na mzaziii!!! Hii kitu usikie tuu [emoji24][emoji24][emoji24] Wengine tulipata hali hii tukiwa wadogoo sanaa!!! Ila Mungu analeaa!!!Wapendwa asanteni...ila spo vzur. Mniombee
Pole sanaHabari zenu?
Sikia tu kwa mtu nimemzika mama angu siku kadhaa zilizopita. Hii hali inayonipata siielewi, mikono inatetemeka, moyo unauma, kichwa kinauma sana, miguu haina nguvu n.k n.k.
Mniombee haya mapito nipite salama.
Haijalishi umeniacha bado nakupenda sana mama yangu kipenzi.[emoji24]