Pole.sana mumy inaumiza sana, miye sikuwezi futa namba ya mzee wangu aliyefariki 7/2 mwaka jana mpk leo naona km namsaliti na kumtupa vile. Kufiwa kunaumiza sana.Hata sasa ninalia
Pole mkuu...me bora angetangulia baba (Mungu anisamehe).Pole.sana mumy inaumiza sana, miye sikuwezi futa namba ya mzee wangu aliyefariki 7/2 mwaka jana mpk leo naona km namsaliti na kumtupa vile. Kufiwa kunaumiza sana.
Usiseme hivyo mkuu, muombee Mama, mwaka 2018 niliumwa sana hata simu nilitoa urithi lakini Baba yangu alikuja akaniambia ......... nakuombea upone ili wewe unizike mimi mwanangu akaondoka. Kuna siku nilikuwa zangu pale DIT nikahisi kabisa nazungumza nae tena tunapiga stori kabisa. Nikasimama na kukumbuka kuwa Mzee mzee alioshwa pale Almaamour na kuzikwa makaburi ya Kisutu nikasema labda ananiona maana hii ndiyo mitaa aliyolala mzee wangu namuombea sana aondolewe adhabu ya kaburi na tukutane kwenye pepo ya firidausPole mkuu...me bora angetangulia baba (Mungu anisamehe).
Hii ishaniathiri hadi hapa
Siizoeiii
Leo nimelia mno...I wish mama yangu angekuwepo
Acha kabisa wallah.. Ilinikuta hali hii pale rufaa Mbeya mwaka 2002..!! Na maneno ya mzee kwangu wakati akiwa hai mara kwa mara alisema atangulie yeye ili nimzike na ndugu zangu (wadogo zangu) aniachie kuwaleaUsiseme hivyo mkuu, muombee Mama, mwaka 2018 niliumwa sana hata simu nilitoa urithi lakini Baba yangu alikuja akaniambia ......... nakuombea upone ili wewe unizike mimi mwanangu akaondoka. Kuna siku nilikuwa zangu pale DIT nikahisi kabisa nazungumza nae tena tunapiga stori kabisa. Nikasimama na kukumbuka kuwa Mzee mzee alioshwa pale Almaamour na kuzikwa makaburi ya Kisutu nikasema labda ananiona maana hii ndiyo mitaa aliyolala mzee wangu namuombea sana aondolewe adhabu ya kaburi na tukutane kwenye pepo ya firidaus
Hapana! Hapo umevuka mipaka! Usiseme hivyo! Hata angetangulia baba bado uchungu ungekuwa huo huo! Shukuru tu kwa yote yaliyotokea maana ni mapenzi ya Mungu!me bora angetangulia baba (Mungu anisamehe).
Hana na hakuwa na msaada wa mzazi kwangu...Hapana! Hapo umevuka mipaka! Usiseme hivyo! Hata angetangulia baba bado uchungu ungekuwa huo huo! Shukuru tu kwa yote yaliyotokea maana ni mapenzi ya Mungu!
Nimekuelewa sana.Hana na hakuwa na msaada wa mzazi kwangu...
Hata pamoja na majonzi ya kumpoteza mama kipenzi bado haoneshi kunifariji zaidi sana hajali kabisaa
Pole sana mkuu! Hata sisi mwanzoni tulikuwa unasema hivyo lakini alivyofariki baba hapo hapo tukaujua umuhimu wake! Hivyo jipe moyo mkuu uyakabali haya yanayokusonga!Hana na hakuwa na msaada wa mzazi kwangu...
Hata pamoja na majonzi ya kumpoteza mama kipenzi bado haoneshi kunifariji zaidi sana hajali kabisaa
Ndivyo ilivyoAisifuye mvua imemnyeshea mkuu
na kwa sababu ,ulikuwa humpendi baba ako,Allah ameona ni vyema usiempenda aishi zaidi,ili upate muda wa kumpenda !! Huyo mama ako ilikuwa haki kutangulia kuzikwa maana hukuwa na Deni nae( kwa kuwa ulimpenda hivyo hukuwa na Deni nae).baba ako ana Deni na wewe ,!! kwa ubinafsi wako may be ndio maana amezikwa wa kwanza mama ako!!Pole mkuu...me bora angetangulia baba (Mungu anisamehe).
Hii ishaniathiri hadi hapa
Siizoeiii
Leo nimelia mno...I wish mama yangu angekuwepo