King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,866
- 24,976
Sasa huyu first date tu kuona shosti kakimbia. Anajuaje kama huyu ndio asingechangia? Hajakaa na mdada wa watu walau mara mbili ttu akamsoma tabia? Yeye ndio kakimbia kulipa. Angeweka mezani share yake ya bill kabla hajatoroka
madem wa bongo wahajui kitu kinaitwa kusplit the bill...yaani inakula kwako mkuu ...sasa angalia mtoto Wa kike metabolism ya mwili ndogo unakula kuku mzma utadhani umetoka kubeba zege