Nimemuachia bill mchunaji

Nimemuachia bill mchunaji

Japo siwezi kwenda kwenye appointment ya mpenzi wangu na rafiki yangu ila hapo kwenye bili imebidi nicheke. Eti umekimbia bill ya sh 29000 au? Nikitoka out nina hela yangu pengine kuzidi hata alinayo mpenzi wangu.
 
Japo siwezi kwenda kwenye appointment ya mpenzi wangu na rafiki yangu ila hapo kwenye bili imebidi nicheke. Eti umekimbia bill ya sh 29000 au? Nikitoka out nina hela yangu pengine kuzidi hata alinayo mpenzi wangu.

mdida hongera sana, unajitambua!
 
Last edited by a moderator:
mkuu kuku mzima mzima 20000@ 10000 each heineken 2 8000@ 4000 [minimum assumptions] each. lets say rafiki yako alijilipia bili mwenyewe after coming see you{which is rude anyway}. inabaki buku kwenye bili... ina maana umekimbia bili ya bia moja moja afu na wewe ulikunywa nini cha buku[togwa?]
 
madem wa bongo wahajui kitu kinaitwa kusplit the bill...yaani inakula kwako mkuu ...sasa angalia mtoto Wa kike metabolism ya mwili ndogo unakula kuku mzma utadhani umetoka kubeba zege
 
madem wa bongo wahajui kitu kinaitwa kusplit the bill...yaani inakula kwako mkuu ...sasa angalia mtoto Wa kike metabolism ya mwili ndogo unakula kuku mzma utadhani umetoka kubeba zege

Ha ha ha ha kazi kwelikweli
 
Mimi kinachoniboa sio bill ila ni ile kukosa nafasi ya kuongea mambo yetu, sasa unapokuja na mtu inamaana hutaki tuongee mambo yanayotuhusu sisi kama wapenzi, au unabana nisikutongoze.

Na ukiona dem anakufanyia hizo mambo ujue huwezi kumpata, atakuzungusha huku anakula vyako, dawa ni kujitoa mapema.

Kwa hiyo nikiacha kulipa bill ni kwa sababu nimeona sina changu na siwezi kuliwa bure (naliwa bila kula), ila kama ni dem wangu na vyombo napataga sioni tatizo yeye kuja na rafiki yake japo sio kila mara.
 
mkuu baada ya wewe kuondoka huyo rafiki yako alirudi na kujilia vyake kiulaini... mjini akili, mwanaume gani unalalamika bili ya elfu 29.

Eti??? embu mshangae!!! wala hawakuaibika kila mmoja alikipanga vyema na hata walipoagiza hawakuona shida maana uwezo wanao,nia ya kula wanayo na 7bu pia wanayo. Aibu yakee mkimbiaji
 
29,000/= Ni pesa kidogo sana ukiwa na mwanamke/wanawake. Wanawake wengine ndiyo tabia zao lakini, akikaribishwa yeye anakuja na kundi alafu wanafanya uharibifu, bora wale hivyo vitu, utakuta hata kumaliza hawavimalizi. Ila kwa bili ya 29,000/= bado ndogo siyo ya kuilalamikia.
 
We jamaa sio mwanaume wewe yaan ka bill kadogo tu hako ume sepa?Sasa ungekutana na papuchi kila bao laki si unge kufa wewe!!!
 
Heheheh hii chai inanoga

Ila Shauri yako ....ukiendelea hivyo mademu wazuri utaishia kuwaita shemeji

Bora iwe hivyo.... halafu kwa haraka huo ni mchepuko. So sometimes inabidi wakomeshwe kwa style hiyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom