Nimemuachia bill mchunaji

Nimemuachia bill mchunaji

mkichapiwa bado mnakuja kujaza server JF
Acha sifa mkuu hupati demu humu wa buree kwa kulipa bill ya Tsh 29000.. Umejuaje pengine anaweza kulipa zaidi ya hiyo ila angekuja peke yake

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Nakupongeza kwa kuonesha somo tatizo uyo dem alikuja kukukomoa ndo maana alikuja na mwenzake. Angekua peke yake hata zaidi ya laki mnatumia.. Sasa basi kuna mijitu humu minafki kweli hasa midume eti ndogo sana hajakimbia 29000 ila amekimbia kuendelea kutumiwa asipate kitu.. Unaitwa wewe unakuja na mwenzako tena bila taarifa.. K.enge wee kafie mbele.. Njoo peke yako utumie zangu.. Mademu ndo maaana tunawavua vyupi kila siku na tunawaacha eti ndo sana ndo mje mia..

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
madem wa bongo wahajui kitu kinaitwa kusplit the bill...yaani inakula kwako mkuu ...sasa angalia mtoto Wa kike metabolism ya mwili ndogo unakula kuku mzma utadhani umetoka kubeba zege

Mbavu zangu mieeee
 
Ila sio vzur, haiwezekan uitwe wewe tu uje na group lako...kwan imekuwa discussion hiyo?? wadada tuwe wastaarabu bac
 
Jana nimeondokai na kumwanchia dada moja ambaye alikuja kwenye appointment na rafiki yake bilakunishirikisha,nilishangaa kila mmoja anaagiza kuku mzima! na Henken.

Nilikuwa na Pesa za kutosha nikasema sawa,but baada ya rafiki yangu kuja na kutusalimia na kuondoka alini text na kunitonya kuwa hao mademu wa Changombe ndio zao,mie nikajifanya naenda kutuma pesa, nikaondoka mpaka Home yaani haraka haraka bill ilikuwa kama 29000/=.
yaani elfu 29 ndo imekufanya ukimbie,,,alaf unakuja kujisifia humu loooh je wangekuja wanaoagiza hennessy za laki na nusu kwa chupa si ndo ungehama nchi
 
mkuu baada ya wewe kuondoka huyo rafiki yako alirudi na kujilia vyake kiulaini... mjini akili, mwanaume gani unalalamika bili ya elfu 29.
Wewe bill ya tsh 29,000 unaona NDOGO eti!!! Hapo angekuwa peke yake mpk room unachukua
 
elfu 29 tu unakimbia wa dada una roho mbaya sana wewe.
 
madem wa bongo wahajui kitu kinaitwa kusplit the bill...yaani inakula kwako mkuu ...sasa angalia mtoto Wa kike metabolism ya mwili ndogo unakula kuku mzma utadhani umetoka kubeba zege
Wanakula kama viwavi jesh yani ni shidah!
 
(KikulachoChako, ..mwisho wa maongezi ya simu nikaambiwa amepata dharula kwa hiyo anatakiwa aende...dahh!!...nikasemea kimoyo moyo ndio nishaliwa hivyo...ikabidi nimruhusu...
Roho iliniuma sana kumtazama kuku mzima alivyo donolewa ikabidi nichukue mfuko laini nimfunge nikalie ugali nyumbani...wanawake kweli majanga...)
Aiseee jamaa umenichekesha sana, kwamba ukaona ushaliwa!! Hahaaa dah jf noma sana
 
uliogopa bure tu mkuu pale ulivyoondoka nikapata nafasi ya kujiunga nao huwezi kuamini nilitumia elfu 5 tu ya zaidi na kwenda kulala nao....siku nyingine usisikilize maneno ya watu wengine wana wivu
 
Wavulana bana. Anyway huwa sibebagi mashoga na nikitoka chakula sio gari ukinunua cha 35000 nakula cha mia mbili na bavaria moja issue ni je utanidhamini utu wangu wakati wa kuondoka? Utanipa sh ngap?
Maana ukikutana na mchaga anakununulia vyakula vya laki moja mda wa kuondoka anakupa 5000.tu! Hii ni dhalau.

Anyway kwa mwanaume 29000 ilikuwa ni kidogo ila kwa kuwa wewe ni wa kiume its ok.
 
Kuna wanawake wana maamuzi magumu hapa duniani? yani unaenda kukutana na mwanaume ambae 29,000 kwake ni deal duh!! ..labda kama ni mwanafunzi wa secondary na wenzio hapo sawa.
 
Heheheh hii chai inanoga

Ila Shauri yako ....ukiendelea hivyo mademu wazuri utaishia kuwaita shemeji
Demu mzuri ni kuanzia tabia, kitendo cha kubeba marafiki ni wazi huna huruma, huna haya na unapenda sifa kwahiyo ushapoteza sifa ya uzuri.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom