Mtali
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 3,940
- 3,303
Aseee weli hataningekuua mmnngesepa mifuko miwwili ya sumenti 29000
Tena na chenchi kabisa.... Sasa hivi tunazungumzia kukuza kipato binafsi. Hawa wanadhamiria kukwamisha shughuli za kimaendeleo.
Aseee weli hataningekuua mmnngesepa mifuko miwwili ya sumenti 29000
Binafsi sina hiyo tabia na siipendi, sio m~binafsi lakini huwa napenda tuwe wawili tu maana tuna mengi ya kuongea hata kama ni siku ya kwanza, naapa sjawahi kwenda na shoga yangu na ninachojua mimi me wengi hawapendi hiyo tabia na sipendi kumkera mwenzangu, ila ilitokea siku moja tukiwa sehem ni jirani na shoga yangu, ikatokea tu shoga kanipigia na akaniuliza nilipo nilichomjibu subiri nikupigie, nilimweleza mwenzangu kuhusu hiyo simu aliniambia nimweleze tulipo na kama mimi sitojali nimwite na nilifanya hivyo nilichomwambia ila anakunywa bia maana mimi sinywi bia. Na sisi ke tuwe tunaangalia wa kutoka naye na kapochi kawe na kitu kidogo
Here we dont talk about wife material,we just talk about hit and run kinda bit.chas.s
Kuhudumia ukoo wa mke wangu its fair and am supposed to do so
Swali linabaki vilevile vipi kuhusu hawa wenzie wanaojifanya wanajua kuhudhuria show zisizowahusu!!!!???
Ni bora angemtaarifu jamaa kuwa anakuja na mwenzie ili jamaa akae mkao wa kuchunwa.
Kutoroka sio rahisi na wala sio ubinadamu. The point hapa ni kama ni date basi ijulikane, kama ni outing basi ijulikane..! Swala la nani analipa, kwa wadada walio wengi ni la mwanaume...!
Hahhaha nmechekaje umenikumbusha mashostito wangu wa dom walivyo shushuliwa kwa kuagiza mikuku na bi pombe ya hatariiii maeneo ya double H....huhuuu..jamii forum never boring!!!!
Tis deserves a cake!,.......ingekuwa outing sawa but a date?!,....first date to be exact!
Kwanza navoelewa mimi on the first date you don't even have a meal, zaidi ya drinks and maybe something light (kama una njaa sana) sa mtu anakula jogoo mzigo mzimaa!
Mkuu nijuze, naona kibongo bongo you can have a feast!, on the first date, that's an advantage though......lol!
Hii naiona hapa hata mimi, first date and a 'lady' eats a full chicken..damn!! Kama ulivyosema, mostly drinks and maybe light food or bites ndo inatakiwa katika date ya kwanza.
kui let's have a date please, utakula kuku mzima na Heineken..lol
Hii naiona hapa hata mimi, first date and a 'lady' eats a full chicken..damn!! Kama ulivyosema, mostly drinks and maybe light food or bites ndo inatakiwa katika date ya kwanza.
kui let's have a date please, utakula kuku mzima na Heineken..lol
Kama napaona double H mi na shost yangu tushawahi kukimbiwa ila tukaja kumkamata maisha club na binamu yake ilibidi rafiki yangu avunje mkataba maana alishazoea kumtapeli rafiki yangu
Hahahahah.........umejisikia aibu kwa niaba yake?Hadi nimeona aibu Mwanaume unakimbia bill 29000 kweli???????
ni Tsh 29,000/= ama $29,000/=
Ulisoma dom nn my????
Ndio nimekulia huko nimemaliza O level Hijra ipo chinangali
Hii kitu ya mademu kuzuka eneo la tukio na mashosti zake inakera sana. Ni kama kukomoana vile. Wengine hata hawajitambui....wanadhani labda ni sifa kuwaleta rafiki zao wale na kunywa ili kumuona yeye kapata bwana wa maana. Ujinga mtupu.
WEngine labda aibu kuja peke yao sehemu kama hizo. Ukipanga kukutana na mtu ujipange!
Unasumbuliwa na UKATA tu ndugu yako, TZS 29,000.00 sio hela nyingi kutumia kwa siku moja. Kumbuka starehe ni gharama