Nimemuachia bill mchunaji

Nimemuachia bill mchunaji

Naona wadada mwateteana kwa huu upuuzi

Nikupigie simu uje wewe kama wewe unaniletea mijitu hainihusu

Wewe ukila hata laki ntalipa manake nakuwa nahudumia mgodi ambao one day utatema madini!

Haya kuhusu shosti wako uliyemkokota ukaja naye inakuwaje sasa!

Umefanya vizuri sana kaka mkubwa
 
na huyo mwenzake unamuwekea siku yake, unamgegeda. huwa wanazungukana mkuu.
 
acheni kuigiza 29000 ndogo? hapo mwenyewe utakuta unalipwa 150000 Kweli maisha bila unafiq hauendi.

Kwa nyie wenye hela za mawazo kubwa sikatai, ila mkome kuparamia vitu msivyo na uwezo navyo.
 
JF raha sana, kila mwanaume humu ni milionea na kila mwanamke ni matawi ya juu.....

Hii inareflect maisha halisi ya sisi wabongo yalivyojaa unafiki na kuigiza. Kuna jamaa kasema hapa labda "kamshahara kenyewe milioni moja tu" yaani akimaanisha kwa standard za JF mshahara wa milioni moja ni chamtoto kabisa. Pia inaonyesha yale mawazo ya kiujima bado yapo JF kuwa ukitoka out na mwanamke bill zote za mwanaume na demu hata akija na mashostito zake kumi poa tu. Hii hata jirani zetu Kenya, Uganda na Rwanda wameishaivuka ambako ukitoka out na demu anayejitambua analipa bill zake au atakwambia wakati mnapanga kuwa hatalipa umlipie, akija na rafiki rafiki analipa bill zake. Iko miaka mingi kwa majirani zetu. Lakini hakuna cha kushangaza katika nchi ambayo kila kitu inategemea kusaidiwa hata wananchi wanakuwa na mawazo ya kijima kuwa someone will pay my bills, hasa wanawake, but pia kuna midume unalikuta bar linakuomba bia which sioni tofauti na ombaomba wa pale kwenye taa za barabarani
 
Katika harakati za wanawake wa kitanzania kudai usawa hichi kipengele muhimu huwa wanakiruka au sijui wanakisahau...nakupa pongezi mtoa mada kwa kuwakumbusha jambo la msingi sana...
 
We jamaa sio mwanaume wewe yaan ka bill kadogo tu hako ume sepa?Sasa ungekutana na papuchi kila bao laki si unge kufa wewe!!!

Hiyo papuchi ya bao moja laki inawaka taa kwa ndani pamoja na ac..au unakula humo humo kwenye papuchi...??
 
Nakumbuka niliwahi kutoka na mdada mmoja hivi maeneo ya makumbusho....
Kwanza kabla hatujafika eneo la tukio nilimwambia live kuwa mfuko mfupi...kwa hiyo mbwembwe na mashauzi sitaki...akasema poa...
Mzee kufika pale maeneo mtoto wa kike kabla maongezi akaagiza heinken..nikasema leo kazi ipo..ikabidi mzee niagize pepsi bariiiiidi ili kuenda sawa na salio mfukoni...huku moyo unanienda mbio mara mtu wa jikoni huyo kaja utadhani kaitwa...anauliza oooh! niwahudumie nini...dah mtoto wa kike kike akaagiza kuku mzima na chipsi...duuh nikachoka kabisa....ikabidi mzee nivunge kuwa nimeshiba...wakati tunaendelea na maongezi kila saa simu yake iko bize kama custmer care.....huku kuku anamla kwa kumdonoa donoa kama mwewe....kabla hatujafikia muafaka ghafla naona simu yake inaita na yakafuatia maongezi kama ya dakika kumi hivi...mwisho wa maongezi ya simu nikaambiwa amepata dharula kwa hiyo anatakiwa aende...dahh!!...nikasemea kimoyo moyo ndio nishaliwa hivyo...ikabidi nimruhusu...
Roho iliniuma sana kumtazama kuku mzima alivyo donolewa ikabidi nichukue mfuko laini nimfunge nikalie ugali nyumbani...wanawake kweli majanga...
 
Naona wadada mwateteana kwa huu upuuzi

Nikupigie simu uje wewe kama wewe unaniletea mijitu hainihusu

Wewe ukila hata laki ntalipa manake nakuwa nahudumia mgodi ambao one day utatema madini!

Haya kuhusu shosti wako uliyemkokota ukaja naye inakuwaje sasa!

Umefanya vizuri sana kaka mkubwa

alichofanya huyo dada si ustaarabu ila huyo jamaa nae hakuwa na sababu ya kukimbia. angesubiri bill ije alipe yaka na ya aliemualika huko alieletwa atajijua na aliemleta.hapo watakuheshimu. kukimbia ni uoga,unakaa mpaka mwisho macho makavu.
 
Nakumbuka niliwahi kutoka na mdada mmoja hivi maeneo ya makumbusho....
Kwanza kabla hatujafika eneo la tukio nilimwambia live kuwa mfuko mfupi...kwa hiyo mbwembwe na mashauzi sitaki...akasema poa...
Mzee kufika pale maeneo mtoto wa kike kabla maongezi akaagiza heinken..nikasema leo kazi ipo..ikabidi mzee niagize pepsi bariiiiidi ili kuenda sawa na salio mfukoni...huku moyo unanienda mbio mara mtu wa jikoni huyo kaja utadhani kaitwa...anauliza oooh! niwahudumie nini...dah mtoto wa kike kike akaagiza kuku mzima na chipsi...duuh nikachoka kabisa....ikabidi mzee nivunge kuwa nimeshiba...wakati tunaendelea na maongezi kila saa simu yake iko bize kama custmer care.....huku kuku anamla kwa kumdonoa donoa kama mwewe....kabla hatujafikia muafaka ghafla naona simu yake inaita na yakafuatia maongezi kama ya dakika kumi hivi...mwisho wa maongezi ya simu nikaambiwa amepata dharula kwa hiyo anatakiwa aende...dahh!!...nikasemea kimoyo moyo ndio nishaliwa hivyo...ikabidi nimruhusu...
Roho iliniuma sana kumtazama kuku mzima alivyo donolewa ikabidi nichukue mfuko laini nimfunge nikalie ugali nyumbani...wanawake kweli majanga...

kumbe na wewe huwa unakutana na wa aina hii???!!! mara ya mwisho kusoma post yako mahali fulani ulisema we huwa unakutana na wanawake wastaarabu,wenye heshima tu.

cc: Matola
 
Last edited by a moderator:
Jana nimeondokai na kumwanchia dada moja ambaye alikuja kwenye appointment na rafiki yake bilakunishirikisha,nilishangaa kila mmoja anaagiza kuku mzima! na Henken.

Nilikuwa na Pesa za kutosha nikasema sawa,but baada ya rafiki yangu kuja na kutusalimia na kuondoka alini text na kunitonya kuwa hao mademu wa Changombe ndio zao,mie nikajifanya naenda kutuma pesa, nikaondoka mpaka Home yaani haraka haraka bill ilikuwa kama 29000/=.

Mkuu,kuku wawili na Heinkein kwa Shs 29000 tu? Eneo gani hilo? Hizo Heinkein na kuku vime expire?
 
Umeonaaa eeeeh haya piga makofi
:clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom