Nimemuachia bill mchunaji

Nimemuachia bill mchunaji

Mimi kinachoniboa sio bill ila ni ile kukosa nafasi ya kuongea mambo yetu, sasa unapokuja na mtu inamaana hutaki tuongee mambo yanayotuhusu sisi kama wapenzi, au unabana nisikutongoze.

Na ukiona dem anakufanyia hizo mambo ujue huwezi kumpata, atakuzungusha huku anakula vyako, dawa ni kujitoa mapema.

Kwa hiyo nikiacha kulipa bill ni kwa sababu nimeona sina changu na siwezi kuliwa bure (naliwa bila kula), ila kama ni dem wangu na vyombo napataga sioni tatizo yeye kuja na rafiki yake japo sio kila mara.

Nawe ungemwambia lafiki yako amchukue mwenzake, au ungemuweka mwenzake kiporo kwa kumtumia siku nyingine
 
Daaa mkuu pole sana kuna sehemu nitakupa lawama na kuna sehemu sitakupa lawama kama unacho sema ni ukweli mtupu!

Kama kweli kilicho kufanya ukimbie sio bill na pesa ulikuwa nayo mfukoni basi umekosea hii haikua njia sahihi ya kutumia bali ungeliacha hilo la siku hiyo lipite halafu umwambie!

Unajuaje kama hiyo bill wange saidia? Siamini kama ulifikiri kwa kina kabla ya kufanya maamuzi maana ni wanawake wachache first date wanaweza wasije na pesa naona kama ulifanya maamuzi ya haraka.

Kwa upande mwingine kila nikikusoma naona tatizo ni pesa na sio yeye kuja na marafiki zake na kusema kweli 29,000/= sio pesa ndogo kabisa ni pesa nyingi kwakuwa sio kila mtu ana uwezo wa kutumia 30,000/=kwa mkupuo bar na kwa 70% ya watanzania ni pesa nyingi sana kwa mkupuo mmmoja hivyo wanao sema ni pesa ndogo labda watakuwa wameteleza!

Lakini pamoja na kuwa tatizo linalo onekana hapa ni pesa na si rafiki maana sitegemei ulitaka kumaliza kila kitu siku hiyo hiyo tena ningekuwa wewe ninge utumia huo mwanya kuongea mbele ya rafiki yake na kumueleza rafiki yake jinsi ninavyo mpenda mwenzie.... siku nyingine ukiwa na first date uwe una jiandaa hata na 30,000 japo bado na doubt hiyo bei na na vitu ulivyo vitaja!

Naona ulipoteza chance nzuri sana maana rafiki yake alikuwepo ungemueleza unavyo mpenda pale pale hata ungejikaza na ange kuamini!

Siku nyingine unapo panga mihadi fanya utafiti kwanza maeneo anayo kaa au yaliyo karibu na kwao kuhusu bei ya vyakula na bia na ikiwezekana hakikisha unampeleka sehemu ambapo unajua henekein zinaweza zisipatikane lakini hilo la kuku uwezi kulikwepa!

Usirudie tena kukimbia maana utaonekana umekimbia bill swala la mtu kuja na rafiki first date linaweza kuwa sio tatizo maana pengine ni ulinzi na bado ajakuamini nina uhakika kwakuwa ni first date!

Hila huu uzi una vituko sana nimecheka sana ....hakika jf ni kiboko yao.
 
Hamna kitu kinacho nikera kama umemtoa out kwa mara ya kwanza ana agiza kuku 2 moja anasema Mama yake anapenda sana kuku so anamfungia!

Mara 3 imenitokea hii

Hahahahaha nusu nivunje mbavu....jf kiboko yao
 
Ahahahahaua mkuu umenikumbusha mbali sana,wakija sehemu ya appointment wala hawaulizi una bei gani

Akaagiza kuku nzima,chips,savanah 3 then akaagiza urojo na baadae savanah zingine 3

Kabla hatujaanza hata mazungumzo akamuambia Mangi kuku ingine afunge,then akaagiza mtori na baadae kababu .

Hapo ikabidi nimuambie ukweli ukiagiza kingine utalipa mwenyewe maana pesa niliyokuja nayo imebaki nauli ya bodaboda tu!

Akachukia sana kuanza kupaka mbovu hata mazungumzo hayakufanyika!

Teh Teh
 
Ukimwangalia ni mrembo sana,kwa kweli kaumbika ila tabia sio nzuri!Nilikutana nae uwanja wa Taifa Yanga na Simba!

Hapo nimesahau kutaja mayai 2 na chokistiki maana pia aliagiza ehehehehehe

Kwikwikwi
 
Jana nimeondokai na kumwanchia dada moja ambaye alikuja kwenye appointment na rafiki yake bilakunishirikisha,nilishangaa kila mmoja anaagiza kuku mzima! na Henken.

Nilikuwa na Pesa za kutosha nikasema sawa,but baada ya rafiki yangu kuja na kutusalimia na kuondoka alini text na kunitonya kuwa hao mademu wa Changombe ndio zao,mie nikajifanya naenda kutuma pesa, nikaondoka mpaka Home yaani haraka haraka bill ilikuwa kama 29000/=.

Tshs. 20,000.00 tu unakimbia !!!!, cku nyingine niite mimi nije nikusaidie kulipia huyo rafiki yake.
 
Ukitoka out na mimi basi jitahidi bill yako icheze around buku tano (tsh 5000/-) only! Ikizidi hapo jiandae kulipa mwenyewe!
 
Jana nimeondokai na kumwanchia dada moja ambaye alikuja kwenye appointment na rafiki yake bilakunishirikisha,nilishangaa kila mmoja anaagiza kuku mzima! na Henken.

Nilikuwa na Pesa za kutosha nikasema sawa,but baada ya rafiki yangu kuja na kutusalimia na kuondoka alini text na kunitonya kuwa hao mademu wa Changombe ndio zao,mie nikajifanya naenda kutuma pesa, nikaondoka mpaka Home yaani haraka haraka bill ilikuwa kama 29000/=.


Umefanya vizuri sana mkuu ukute na nauli walikua hawana mzee
 
Haaaaaa! nimeelewa, kumbe Gor uliogopa kutongoza mbele ya rafiki yake!!!!!!! khaa!
 
Last edited by a moderator:
Mie siogopi bill platozoom, kazi ya hela ni matumizi bwana. Issue ni je, nataka mtoko na wewe? Hebu anza kunihamasisha

Ngoja nipitie thread na post zako, nafanya analysis na visibility study kwanza.
Ila kama Msambaa....si haba...!!
 
Last edited by a moderator:
Mtali eti huwaga wasema midomo ya juu hufanana n a midomo ya chini, ni kweli?
 
Last edited by a moderator:
Gor mimi ningekuwa ww, kutokana na ushauri unaotolewa hapa, ningempigia cm huyo binti, nimwombe samahani, halafu n imrudishie hiyo bill ya 29,000.00
 
Last edited by a moderator:
Gor mimi ningekuwa ww, kutokana na ushauri unaotolewa hapa, ningempigia cm huyo binti, nimwombe samahani, halafu n imrudishie hiyo bill ya 29,000.00

Teh Teh labda aseme alitekwa alipokuwa ana kwenda toilet
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom