Nimemtukana mganga wa kienyeji

Nimemtukana mganga wa kienyeji

Mtafute mkuu na ikibidi jishushe uone anasemaje,inawezekana Kuna kitu amekiona kwako, Mi nilijua Anakujua hivyo kafuatilia Habari zako ndio maana anakuweka ktk target ya kukupiga, Kama hamjuani Mcheki
Mkuu kwa tusi nililompa sidhani kama itawezekana kilichopo ni kuendeleza vita tu,labda kama ataniita mwenyewe
 
Kamwombe msamaha yaishe.. huwezi kujua anapanga kufanya nini..
 
Kweli una Frustrations zako. Umefika mahali pa kumtukana mzee na unajisifia humu JF kweli?? Pole sana. Ila, kuna wengine hawatukanwi.
Hata kama umejizatiti vizuri lakini, kule kutukana tu, kumepunguza nguvu zako za kujihami. Kiungwana, sasa nenda kamsalimie halafu omba msamaha
 
Ulivyomtukana yatosha kijana usivuke zaidi mipaka ukienda kwake utakuwa umelianzisha lingine sasa
 
Back
Top Bottom