inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,776
- 22,593
wewe ni MTU wa tabora,shinyanga,mwanzaKijana jiandae kugeuzwa kichuguu. Watu wawe wanapata nswa hapo Tegeta
wewe ni MTU wa tabora,shinyanga,mwanzaKijana jiandae kugeuzwa kichuguu. Watu wawe wanapata nswa hapo Tegeta
Hahaaaa daahNgoja ageuke popo bawa halafu usiku anakuja kukumassage massage live. [emoji23] [emoji1]
Hapana mkuu. Sina undegu nao wala mahaba nao hao watu.wewe ni MTU wa tabora,shinyanga,mwanza
nswa ndo nini?Hapana mkuu. Sina undegu nao wala mahaba nao hao watu.
Kwa nini umesema ivyo.?
Nswa ni wadudu wanaotoka kwenye kichuguu hasa kipindi cha mvua. Hawa huwa wanatumika kama kitoweo kwa baadhi ya maeneo. Wengine huwa wanauzwa.nswa ndo nini?
unamaanisha kumbikumbi..hlo neno nswa lnatumika huko nlikokwambiaNswa ni wadudu wanaotoka kwenye kichuguu hasa kipindi cha mvua. Hawa huwa wanatumika kama kitoweo kwa baadhi ya maeneo. Wengine huwa wanauzwa.
Nasisitiza siyo senene hao. Nswa ni wadogo kuliko senene
Hahaha kwanza kajiunge NHIF kabla hujaenda kuyavunja matunguli.Huyu mzee mara ya kwanza tulikutana hapa mtaani nikiwa bado mgeni na bahasha yangu ya khaki mkononi.Ilikuwa mahala fulani napata kahawa hapa tegeta.Akanichangamkia sana halafu akaninunulia kahawa ya kutosha then akaniita pembeni akaniambia kuwa yeye ni mganga na jini wake amemuotesha leo aje mahali pale(kwenye kahawa)na atakutana na mtu ameshika bahasha,ana matatizo hivyo amsaidie.Nilimuelewa nikamshukuru na kumuomba mawasiliano yake kwa ahadi ningemtafuta.Sikumtafuta.
Mara ya pili tulikutana dukani akanambia "kijana mbona ulipuuzia?"...nijamdanganya na kumuahidi tena kumtafuta.Sikumtafuta.Sasa leo asubuhi nikiwa nimewahi kuamka na frustrations zangu nikakutana nae dukani tena akaniambia "kijana unajua una matatizo makubwa sana halafu unaleta upumbavu?"!
Hiyo kauli yake kiukweli sikuipenda nikajikuta limenitoka tusi kubwa sana.Yule mzee akaniangalia kwa huzuni halafu akaondoka.
Mimi huwa siwaamini hawa watu hasa wanaojiita wana majini,sasa nataka nimfate kwake nikavunjevunje matunguli yake yote kama anayo.
Kwanini mkuu?Hahaha kwanza kajiunge NHIF kabla hujaenda kuyavunja matunguli.
Basi kwa taarifa yako. Hata kanda ya nyanda za juu kusini linatumika pia. Hasa Rukwa, Mbeya na Kataviunamaanisha kumbikumbi..hlo neno nswa lnatumika huko nlikokwambia
Haniwezi mkuu nimejiandaa kwa kila haliHaaaha utashushwa bushaaa
Hilo neno nililikuta kigomaBasi kwa taarifa yako. Hata kanda ya nyanda za juu kusini linatumika pia. Hasa Rukwa, Mbeya na Katavi
Kapime malaria uanze dozi mapemaHuyu mzee mara ya kwanza tulikutana hapa mtaani nikiwa bado mgeni na bahasha yangu ya khaki mkononi.Ilikuwa mahala fulani napata kahawa hapa tegeta.Akanichangamkia sana halafu akaninunulia kahawa ya kutosha then akaniita pembeni akaniambia kuwa yeye ni mganga na jini wake amemuotesha leo aje mahali pale(kwenye kahawa)na atakutana na mtu ameshika bahasha,ana matatizo hivyo amsaidie.Nilimuelewa nikamshukuru na kumuomba mawasiliano yake kwa ahadi ningemtafuta.Sikumtafuta.
Mara ya pili tulikutana dukani akanambia "kijana mbona ulipuuzia?"...nijamdanganya na kumuahidi tena kumtafuta.Sikumtafuta.Sasa leo asubuhi nikiwa nimewahi kuamka na frustrations zangu nikakutana nae dukani tena akaniambia "kijana unajua una matatizo makubwa sana halafu unaleta upumbavu?"!
Hiyo kauli yake kiukweli sikuipenda nikajikuta limenitoka tusi kubwa sana.Yule mzee akaniangalia kwa huzuni halafu akaondoka.
Mimi huwa siwaamini hawa watu hasa wanaojiita wana majini,sasa nataka nimfate kwake nikavunjevunje matunguli yake yote kama anayo.
Ukimuvunjavunja utuletee mrejeshoHaniwezi mkuu nimejiandaa kwa kila hali
Sio kwamba atahisi nimemuogopa nikimkaushia?Huyo mganga is a "Shithole", achana naye, zuzu na tapeli wa kuogopwa tu..
Usijali ndugu nitaleta mrejeshoUkimuvunjavunja utuletee mrejesho
Yeye ndiye aliniogopa maana aliondoka kwa wasiwas sana...alikuwa ananizoea sanaMpk umekuja huku umeshaogopa, leo usiku jiandae ulale na mfupa wa noah hahahahaha