Poa mkuuUlimuendekeza mwenyewe toka mwanzo, ungemwambia ukweli huamini hayo mambo, atafute wajinga wengine wa kutapeliwa naye..
Achana naye, tapeli tu..
Kweli aiseeKosa nilakwako kumpa ahadi hewa yeye akakumbatia fursa. Siku nyingine uwe makina hapo utatapeliwa na usawa huu.
Atakuwa keshachanganya na za kwake huko alikoMsongo wa mawazo ya kukosa kazi bwana, kila unachoambiwa unaona unaonewa.ilitosha tu siku ya kwanza kumuambia mzee mimi siamini katika imani hiyo.kama ulivyotuambia hapa
Hata hatufahamiani mkuu
GenzaJeeeeezus!![emoji16]nswa tegeta!! Ibhigologolo ama ibhichumbugu.
Sawa mkuuTena mpelekee na mtoto wa nguruwe
Unamfahamu??Subiri uoteshwe busha la milele, ni bora ungempotezea kwa kumwambia Mimi mila zetu haziruhusu hilo utakalo, ingekua bora, kumtukana si uungwana hata kidogo, huyo dingi namfahamu ni Noma Sana
AiseeSubiri ahamishe nyeti zako kwenye makalio
Basi kabla hajafanya hayo nakwenda vunja zana zake zoteSasa ndiyo atasiriba kabisa yaani elimu yako itakuwa haionekani.
Kwanini mkuu?ama kweli "Iron's are tight" maana ukisema vyama vimekaza bila data ni jinai.
Amakenya.Genza