Nimemtukana mganga wa kienyeji

Nimemtukana mganga wa kienyeji

Usimfuate kwake mkikutana tena mwambie mungu hashirikishwi hivyo ni vizuri naye amludie muumba wake
 
hahaaa aiseee
kabla hujaenda kuvunja hayo matunguli hebu jaribu kujikagua mkuu kama sebemu zako za siri bado zipo ISIJE KUWA ULISHAZIACHA PALEPALE KWA MANGI DUKANI au umeshawekewa kwenye hiyo bahasha yako ya kaki
 
Back
Top Bottom