Nimemtukana mganga wa kienyeji

Nimemtukana mganga wa kienyeji

Kweli una Frustrations zako. Umefika mahali pa kumtukana mzee na unajisifia humu JF kweli?? Pole sana. Ila, kuna wengine hawatukanwi.
Hata kama umejizatiti vizuri lakini, kule kutukana tu, kumepunguza nguvu zako za kujihami. Kiungwana, sasa nenda kamsalimie halafu omba msamaha
Niwe mkweli tu msamaha siendi kumuomba mkuu,amenikera sana na kazidi kuharibu siku yangu
 
umeweka nyavu uwavue wajinga mwaka matapeli mna mbinu.. vipi pm unatext ngapi mpaka saaa hii
 
ohoooo kijana kumbe ndo wewe??.ushasikia wapi mganga anatukanwa...??jiandae kuota mshipa wa kilo 12 ivi
 
tusi kubwa sana lina kilo ngapi kaka nahisi ni matusi mapya hayo nisaidie kulijua
 
Hyo Avatar Kama Unaenda Ku Excuse Vile ! ! ! ! ! ! , , muamini Mungu Achana Nae
 
Back
Top Bottom