Nimemtukana mganga wa kienyeji

Nimemtukana mganga wa kienyeji

alafu watu wenye uwezo wa kukusaidia huwa hawezi hangaika na wewe kama atakwambia mara 1 hawezi rudia kukwambia.
 
Ulikunywa kahawa yake bure
Mwombe mtu ampe elfu kumi au ishirini yako yaishe! Maana nafsi itakutesa sana
 
Uwaamini watu wahivi lakini ulimuelewa ukamshukuru na kumuomba mawasiliano yake!!!!??????!!!!!
Ilikuwa ni namna ya kuwa naye mbali kwa muda ule,sikujua kama angeniandama vile mkuu
 
Ulikunywa kahawa yake bure
Mwombe mtu ampe elfu kumi au ishirini yako yaishe! Maana nafsi itakutesa sana
Hahahaaa aisee...halafu alinichangamkia sana hiyo siku ya kwanza!nikajua watu wa daslam ndo walivyo
 
Hahahaaa aisee...halafu alinichangamkia sana hiyo siku ya kwanza!nikajua watu wa daslam ndo walivyo
Mtego huo ndugu yangu
Wewe mpe pesa aishie mapema
Kuna watu wana vipaji alafu hawawezi kujenga maisha
 
Back
Top Bottom