ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,490
- 8,305
Jeeeeezus!![emoji16]nswa tegeta!! Ibhigologolo ama ibhichumbugu.Kijana jiandae kugeuzwa kichuguu. Watu wawe wanapata nswa hapo Tegeta
Jeeeeezus!![emoji16]nswa tegeta!! Ibhigologolo ama ibhichumbugu.Kijana jiandae kugeuzwa kichuguu. Watu wawe wanapata nswa hapo Tegeta
Wewe?Yaani umeamua kuja kuniandika na huku.....[emoji45] [emoji45] [emoji45]
Sasa lazima nikubadilishe jinsia kijana...[emoji16] [emoji16] [emoji16]
Hapana mkuuWee kijana kweli una matatizo...
Kwahiyo tusipo kuona humu tujue tayari mganga kashafanya yake....[emoji12] [emoji12]
hahahahhahhahaKijana, wejiandae kugeuzwa nazi watu wawe wanaku kuna tu.....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
[emoji12] [emoji12]Wewe?
Mshana jr??Jiandae na kifo tu,huyo ni mshanajr
HeheheeMkuu angalia huyo dingi unaweza kujikuta kesho asubuhi umeamka miguu yote ina tope la shambani wakati ulilala chumbani
MhSubiri kugeuzwa jogooo
HawaniweziWatakuja kukuua waganga
Niwahi wapi mkuuWahi fasta
Sasa huyu mzee amezidi ndugu yangu,wacha nikapambaneUnachokitafuta utakipata