Nimempenda baba yake zaidi

Si useme tu kuwa unataka nikubandue Mkuu kwani kila mara unazunguka zunguka tu na maneno yako yanayoashiria Umagomeni Mapipa kwa Macheni wako.
Dume zima bila aibu unajiita tomato tomito AkA mboga yao... duuh bongo nyoso wewe
 
dingi atakulala atapita na mia kijana hujakulala anatak kukuoa chagua moja
 
Shoga sema ukweli una uakika baba nae kakupenda?

Usije ua ndege wawili kwa jiwe moja.

Juzi tu yule mshenzi kakuumiza kwa kukuficha ujio wa mama umeumia weee ikabidi uje hapa tukupoze machungu.

Kama kijana unampenda baki nae wenda ana nia na wewe.

Yakikushinda wote waache huwezi kula na baba na mtoto au na mmeo na shemeji yako ni vita hatari my dia.
 
Ukiwa dakika za majeruhi unaweka mitego mitatu/minne mkuu, hii ya mtego mmoja ndiyo imenifikisha hapa nilipo.
..lakini kutega nyumba moja, mmmmmh! Utafanya huyo kijana na babaye wafarakane, it seems you know not the power of punani!!!
 
Si unajua wadingi hata ukiwa na manyama uzembe atakwambia don't worry babe, lets do some exercise, lakini kijana akishaona nyama uzembe anasema 'I prefer my women to be slim'.
Kwani una nyama uzembe? Hivi kuna wanaume wasiopenda "nyama" na vifua vikubwa??
 
..lakini kutega nyumba moja, mmmmmh! Utafanya huyo kijana na babaye wafarakane, it seems you know not the power of punani!!!
Hii ni theory ya Mange Kimambi na mwenye theory aliachwa kwa talaka, sitaki kuiamini tena hii theory ya 'the power of punani'.
 
Mkuu hii ni story yako au ya wale mashosti wako?
 
Kama huna lengo la kuolewa basi toka na uyo baba

Ila ujue hawezi kukuoa kama ambavyo kijana wake anaweza kufanya
 
Huo moyo wako uambie ufanye kazi ya kusukuma damu. Uachane na hayo mambo mengine, umeanza kuelekea pabaya.
 
Dume zima bila aibu unajiita tomato tomito AkA mboga yao... duuh bongo nyoso wewe

Naona tangia unifumanie na Mama yako Chumbani kwa Baba yako juzi sasa umeamua kuanzisha Vita nami ila bahati nzuri hapa umefika mahala sahihi na nitakupa ushirikiano kama ambao nimekuwa nikimpa Mama yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…