Nimempenda baba yake zaidi

Nimempenda baba yake zaidi

ushaona fursa wewe acha kutuzuga.. Maana baba hana mke sasa unataka ummiliki wewe na umeona mzee yupo vizurii 😀😀😀
 
Sky Eclat yaani baada ya kusoma huu ujumbe imenibidi nirudie kuangalia ID ya original poster kama Mara sita ivi

Heck, mpaka nime refresh kuona kama itabadilika
 
Bado sijampa.
Na siku ukimpa tu..utakinai mwenyewe
Utatamani kurudi kwa dogo..
Kilichokuongoza kumpenda ni tamaa ya mwili na sio mapenzi kutoka moyoni...mwili una tamaa..which iz bad
 
Habari za J5 wapendwa

Huyu kijana tulifahamiana miaka miwili iliyopita, wiki iliyopita alinikaribisha nyumbani kwao nikamuone baba yake. Nimefika nyumbani baba alituandalia vizuri sana, baba anaishi peke yake na chakula aliomba kipikwe na caterer. Nimevutiwa Zaidi na ucheshi wa baba kuliko huyu rafiki yangu sasa jinsi ya kuswitch hapa ni shughuli.

Huyu rafiki yangu alizaliwa wakati baba yake akiwa mwanafunzi, na baba aliendelea na shule mtoto akiwa kwa mama yake. Miaka mingi ilipita mpaka baba kumaliza elimu, mama alishaolewa hivyo rafiki yangu alikuja kulelewa na baba akiwa teenager, baba alikuja kuoa lakini mke alishatangulia mbele za haki. Baba na mtoto wamepishana umri kama miaka 20 hivi, na baba ni wa kileo kiaina sasa hapa niko njia ya panda, kuwapotezea wote maana yake huyu rafiki yangu hatanielewa akisikia niko na mdingi wake.

Huyu rafiki hatujafikia kula tunda la katikati, lakini kwa mzee nimeishiwa kabisa. Ushauri jamani.
Mpe mzee airarue sasa..!
 
We kweli sky
 
Back
Top Bottom