Nimempenda baba yake zaidi

Nimempenda baba yake zaidi

Dadekiiii!!!!!
Umenikumbusha mwaka juzi kuna binti nilikua nataka nimtokee maana nilikua nampenda balaa. Sasa ikawa kila nikimfuata nipige nae story ananiambia eti oohoo nampenda BABA YAKO ANA MACHO MAZURI agriiiiii, yaani namuogopa mama yako tu lol. Ikabidi nimpotezee maana kwa jinsi fatha anavyopenda totoz inaweza kua alisha mmwaga maji maana hata fatha bado yupo 43yrs
totozzzzzz
 
Kweli umzaniaye siye. Haya we endelea Mungu ana kuona lakini
 
Habari za J5 wapendwa

Huyu kijana tulifahamiana miaka miwili iliyopita, wiki iliyopita alinikaribisha nyumbani kwao nikamuone baba yake. Nimefika nyumbani baba alituandalia vizuri sana, baba anaishi peke yake na chakula aliomba kipikwe na caterer. Nimevutiwa Zaidi na ucheshi wa baba kuliko huyu rafiki yangu sasa jinsi ya kuswitch hapa ni shughuli.

Huyu rafiki yangu alizaliwa wakati baba yake akiwa mwanafunzi, na baba aliendelea na shule mtoto akiwa kwa mama yake. Miaka mingi ilipita mpaka baba kumaliza elimu, mama alishaolewa hivyo rafiki yangu alikuja kulelewa na baba akiwa teenager, baba alikuja kuoa lakini mke alishatangulia mbele za haki. Baba na mtoto wamepishana umri kama miaka 20 hivi, na baba ni wa kileo kiaina sasa hapa niko njia ya panda, kuwapotezea wote maana yake huyu rafiki yangu hatanielewa akisikia niko na mdingi wake.

Huyu rafiki hatujafikia kula tunda la katikati, lakini kwa mzee nimeishiwa kabisa. Ushauri jamani.
Hujasema kama Mzee ulishampatia zawadi ya ushindi aka papuchii
 
Hii issue ni kubwa ila watu wataichukulia simple cha kwanz think more wew na hyo jamaa ulimpnda au ulimtaman tu na lengo lako kwa hyo kijana lilikuwa ni nini pia unapotaka kuwa na hyo mdingi je unauhakika atakubali kuwa na ww na lengo lako kw hyo mdingi ni nn zaid ya hapo unaweza ukaharbu kw kijana dingi akaona ww haumfai ukapoteza pote kaa chin na ufikir kwanz
 
Baba anakufaa, ukizingatia umri wako upo 1500hrs. Fanya manoeuvre umle baba badala ya kijana
 
Mgozi inagongwa na wachezaji 22 kwa kwa wawili tu ni wewe tu
 
Baba anakufaa, ukizingatia umri wako upo 1500hrs. Fanya manoeuvre umle baba badala ya kijana
Si unajua wadingi hata ukiwa na manyama uzembe atakwambia don't worry babe, lets do some exercise, lakini kijana akishaona nyama uzembe anasema 'I prefer my women to be slim'.
 
Hii issue ni kubwa ila watu wataichukulia simple cha kwanz think more wew na hyo jamaa ulimpnda au ulimtaman tu na lengo lako kwa hyo kijana lilikuwa ni nini pia unapotaka kuwa na hyo mdingi je unauhakika atakubali kuwa na ww na lengo lako kw hyo mdingi ni nn zaid ya hapo unaweza ukaharbu kw kijana dingi akaona ww haumfai ukapoteza pote kaa chin na ufikir kwanz
Kijana tulishaongea malengo lakini baba tumeonana kwa mara ya kwanza tu kila mtu alikuwa na chemistry kwa mwenzake.
 
Hiyo simple mpe mshkaj mama ako amfumue kwa hilo hatojali ukiwa na baba ake

ila hiyo km ngumu kafanye umalaya mbele ya safari mnapenda sana kuvuruga familia za watu huko mtaani kwenu kuna vidingi vingapi ukamuharibie jamaa hme
 
Kijana tulishaongea malengo lakini baba tumeonana kwa mara ya kwanza tu kila mtu alikuwa na chemistry kwa mwenzake.
Trust me achana na mzee kaa na kijana hyo ni tamaa ya mwili au fanya maamuz magumu achana nao wote mind ua bussines ila tofaut na hapo mbeleni inawza ikawa majonz kwako
 
Jiweke karibu na mdingi.. Then ukiona kakolea jiachie kabisa maadam dogo hujampa tunda basi haitakuwa mbaya
 
Kweli Wanawake ni Mashetani, sio wote ila type yako. Wewe unaona unachotaka kufanya ni sawa? Futa hayo mawazo mapenzi sio jambo la mchezo mchezo, jaribu kufikiria usije ukajuta badae...
 
Back
Top Bottom