Nimempenda baba yake zaidi

Nimempenda baba yake zaidi

Lets take lesson from this story...

*unaeza kaa na mtu miaka mingi na usimuelewe inside..

*Kubadilika ni jambo la muda mfupi sana.. halina uhusiano na wingi wa muda mliotumia pamoja kabla..

*Kuna watu wapo kwenye mahusiano lkn hawajui kama walipo ni sehem sahihi kwao, hawajui wana elekea wapi..

*Uchumba, kutambulishana, early goodtimes mnazo kua nazo hazitoshi kukupa picha kamili pindi mtapo anza maisha halisi ya ndoa.. kuna utofaut mkubwa sana

*MWISHO NI KUA KUNA WANAWAKE KWAKWEL NI PASUA KICHWA
Umeanza vizuriiii ila ulivyomalizia!!
 
Habari za J5 wapendwa

Huyu kijana tulifahamiana miaka miwili iliyopita, wiki iliyopita alinikaribisha nyumbani kwao nikamuone baba yake. Nimefika nyumbani baba alituandalia vizuri sana, baba anaishi peke yake na chakula aliomba kipikwe na caterer. Nimevutiwa Zaidi na ucheshi wa baba kuliko huyu rafiki yangu sasa jinsi ya kuswitch hapa ni shughuli.

Huyu rafiki yangu alizaliwa wakati baba yake akiwa mwanafunzi, na baba aliendelea na shule mtoto akiwa kwa mama yake. Miaka mingi ilipita mpaka baba kumaliza elimu, mama alishaolewa hivyo rafiki yangu alikuja kulelewa na baba akiwa teenager, baba alikuja kuoa lakini mke alishatangulia mbele za haki. Baba na mtoto wamepishana umri kama miaka 20 hivi, na baba ni wa kileo kiaina sasa hapa niko njia ya panda, kuwapotezea wote maana yake huyu rafiki yangu hatanielewa akisikia niko na mdingi wake.

Huyu rafiki hatujafikia kula tunda la katikati, lakini kwa mzee nimeishiwa kabisa. Ushauri jamani.
Utafata wewe kufa bint
 
Usiwagombanishe,kama humpendi huyo kijana achana nae na ukae mbali na babaye pia!
 
Wewe kukutambulisha nyumbani tu mara ushataka kumvamia m sure?

Yule ana mama mdogo kaenda safari karibu anarudi. Hebu tuendeleze mambo yetu acha tamaa.
 
Umempenda Baba yake zaidi au Umependa hela ya Baba Ake Sababu nyingi zaidi?

Hapo haujamuona tajiri babu yake
 
Wakati huku vijana tunapelekesha huku vidigi vinakula Zari la mentali. Kuna dalili za kuweka rangi nyeupe kichwani kupata Zari za kupendwa.


Ndukiiiii
 
Back
Top Bottom