Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,814
- 15,556
Ni kweli lakini haiwi kwa mtoto mtu baba na wewe mtakua mmenikosea heshima na mimi ntaiharibu kabisaEwalaaaa!
Wengine huwa ni njia tu ya kutufikisha kule kuzuri zaidi.
Ni kweli lakini haiwi kwa mtoto mtu baba na wewe mtakua mmenikosea heshima na mimi ntaiharibu kabisaEwalaaaa!
Wengine huwa ni njia tu ya kutufikisha kule kuzuri zaidi.
Baba hajapata to platform kwakua kijana wake alikuwepo lakini kijana aliens a Chopin maongezi yanaflowSamahani mkuu naomba niulize kabla sijatoa ushauri zaidi,kwani baba nae alimwaga vocal au wewe tu ndo umeamua kumshobokea mshua?
Ni kweli lakini haiwi kwa mtoto mtu baba na wewe mtakua mmenikosea heshima na mimi ntaiharibu kabisa
Umri wako vipi, kijana alidata kwa kibibi au? Maana mpaka umtake dingi ake manake umri nao unashabihiana na dingiHabari za J5 wapendwa
Huyu kijana tulifahamiana miaka miwili iliyopita, wiki iliyopita alinikaribisha nyumbani kwao nikamuone baba yake. Nimefika nyumbani baba alituandalia vizuri sana, baba anaishi peke yake na chakula aliomba kipikwe na caterer. Nimevutiwa Zaidi na ucheshi wa baba kuliko huyu rafiki yangu sasa jinsi ya kuswitch hapa ni shughuli.
Huyu rafiki yangu alizaliwa wakati baba yake akiwa mwanafunzi, na baba aliendelea na shule mtoto akiwa kwa mama yake. Miaka mingi ilipita mpaka baba kumaliza elimu, mama alishaolewa hivyo rafiki yangu alikuja kulelewa na baba akiwa teenager, baba alikuja kuoa lakini mke alishatangulia mbele za haki. Baba na mtoto wamepishana umri kama miaka 20 hivi, na baba ni wa kileo kiaina sasa hapa niko njia ya panda, kuwapotezea wote maana yake huyu rafiki yangu hatanielewa akisikia niko na mdingi wake.
Huyu rafiki hatujafikia kula tunda la katikati, lakini kwa mzee nimeishiwa kabisa. Ushauri jamani.
elekea uliko guswa nako kihisiaBaba hajapata to platform kwakua kijana wake alikuwepo lakini kijana aliens a Chopin maongezi yanaflow
eti ya rabi, naona umeumia sana best pole sanaBaba yake ana hela? tuanzie hapo kwanza.
una umri gani yarabi?
hahahahahah watu mna ushauri mzuri sana.Kupanga ni kuchagua
Chagua ksuka au kunyoa au suka upende m1 nyoa upande mwingine,siku hizi inawezekana kabisa
jaman...kwani huyo rafiki yako hajagundua that chemistry betweeKijana tulishaongea malengo lakini baba tumeonana kwa mara ya kwanza tu kila mtu alikuwa na chemistry kwa mwenzake.
jamn..huyo rafiki yako hakugundua that chemistry between you and his dad?Kijana tulishaongea malengo lakini baba tumeonana kwa mara ya kwanza tu kila mtu alikuwa na chemistry kwa mwenzake.
