Nimempenda baba yake zaidi

Nimempenda baba yake zaidi

Baba yuko more romantic, na nyinyi mlio na watoto wa kiume msijipende sana mkajiweka kama age ya watoto wenu basi.
Hahahaha kwani nani asiyetaki vizuri, kila mtu anataka vinono, na vinono huwezi kuvipata ukijiweka upo upo tu, hii pia iko kwa wanawake
 
Habari za J5 wapendwa

Huyu kijana tulifahamiana miaka miwili iliyopita, wiki iliyopita alinikaribisha nyumbani kwao nikamuone baba yake. Nimefika nyumbani baba alituandalia vizuri sana, baba anaishi peke yake na chakula aliomba kipikwe na caterer. Nimevutiwa Zaidi na ucheshi wa baba kuliko huyu rafiki yangu sasa jinsi ya kuswitch hapa ni shughuli.

Huyu rafiki yangu alizaliwa wakati baba yake akiwa mwanafunzi, na baba aliendelea na shule mtoto akiwa kwa mama yake. Miaka mingi ilipita mpaka baba kumaliza elimu, mama alishaolewa hivyo rafiki yangu alikuja kulelewa na baba akiwa teenager, baba alikuja kuoa lakini mke alishatangulia mbele za haki. Baba na mtoto wamepishana umri kama miaka 20 hivi, na baba ni wa kileo kiaina sasa hapa niko njia ya panda, kuwapotezea wote maana yake huyu rafiki yangu hatanielewa akisikia niko na mdingi wake.

Huyu rafiki hatujafikia kula tunda la katikati, lakini kwa mzee nimeishiwa kabisa. Ushauri jamani.
Mkuu story zako kama za HR 666, vp yule jamaa hajakualika ukamsalimie mama yake tu?, Na yule mwenye kazi ya kuwaremba celebrities vp? Au father bado anapata heart attack
 
Mkuu story zako kama za HR 666, vp yule jamaa hajakualika ukamsalimie mama yake tu?, Na yule mwenye kazi ya kuwaremba celebrities vp? Au father bado anapata heart attack
Ukiwa dakika za majeruhi unaweka mitego mitatu/minne mkuu, hii ya mtego mmoja ndiyo imenifikisha hapa nilipo.
 
Mbona easy tu hapo, mlengeshe bwana mdogo kwa bimkubwa wako wakati huo we unaendelea kuelezea kero za dogo kwa mshua wake
 
Lets take lesson from this story...

*unaeza kaa na mtu miaka mingi na usimuelewe inside..

*Kubadilika ni jambo la muda mfupi sana.. halina uhusiano na wingi wa muda mliotumia pamoja kabla..

*Kuna watu wapo kwenye mahusiano lkn hawajui kama walipo ni sehem sahihi kwao, hawajui wana elekea wapi..

*Uchumba, kutambulishana, early goodtimes mnazo kua nazo hazitoshi kukupa picha kamili pindi mtapo anza maisha halisi ya ndoa.. kuna utofaut mkubwa sana

*MWISHO NI KUA KUNA WANAWAKE KWAKWEL NI PASUA KICHWA
 
Fyuuu, looo labda kama ni story ya kutunga kupata kick
 
Back
Top Bottom