Nimempenda baba yake zaidi

Nimempenda baba yake zaidi

Mimi ningekuwa mtoto na nikajua unamtamani mzee.lazima ningetatua marinda yako ayo
 
Huyo mzee ni kama baba yako mzazi. Achana nae. Dhamira itakuja kukusuta mbele ya safari na utaishia kuwakosa wote. Mind you, huenda mzee hajakudondokea na ukianza kujishebedua na kujigonga kwake anaweza kukuona mala.ya tu na kumtonya mwanae
 
Sky unayeyusha kichizi

Au ndo story na marafiki zako .

So unataka kuwa mama Wa Rafiki yako .

Pima akili zao kwanza ndo ujue

Mwanaume hapimwi kwa uzuri Wa sura na utanashati
 
Pesa hununua vita lakini hainunui furaha wala upendo wa dhati!!
Hivi unadhani huyo mchagga anaelewa hilo? Hawa jamaa ndio maana nasikia "wanatanguliza" wenzao, kwao pesa ndio definition ya upendo.
 
Naona tangia unifumanie na Mama yako Chumbani kwa Baba yako juzi sasa umeamua kuanzisha Vita nami ila bahati nzuri hapa umefika mahala sahihi na nitakupa ushirikiano kama ambao nimekuwa nikimpa Mama yako.
Hivi unaona raha gani kujifanya msichana mbele ya vidume kama sio upunga
 
Matatizo kijana ananipenda na nitaanza vipi kumfahamisha kuwa majeshi yamegeuza mwelekeo?
Wewe utakuwa na pepo sio bure. Tunakuomba usije kutushirikisha katika maovu yako uliyopanga kuyafanya.
 
Habari za J5 wapendwa

Huyu kijana tulifahamiana miaka miwili iliyopita, wiki iliyopita alinikaribisha nyumbani kwao nikamuone baba yake. Nimefika nyumbani baba alituandalia vizuri sana, baba anaishi peke yake na chakula aliomba kipikwe na caterer. Nimevutiwa Zaidi na ucheshi wa baba kuliko huyu rafiki yangu sasa jinsi ya kuswitch hapa ni shughuli.

Huyu rafiki yangu alizaliwa wakati baba yake akiwa mwanafunzi, na baba aliendelea na shule mtoto akiwa kwa mama yake. Miaka mingi ilipita mpaka baba kumaliza elimu, mama alishaolewa hivyo rafiki yangu alikuja kulelewa na baba akiwa teenager, baba alikuja kuoa lakini mke alishatangulia mbele za haki. Baba na mtoto wamepishana umri kama miaka 20 hivi, na baba ni wa kileo kiaina sasa hapa niko njia ya panda, kuwapotezea wote maana yake huyu rafiki yangu hatanielewa akisikia niko na mdingi wake.

Huyu rafiki hatujafikia kula tunda la katikati, lakini kwa mzee nimeishiwa kabisa. Ushauri jamani.

Shame on u!...
Hata kama!...
Umefikiria matokeo ya badae?
Baba na mtoto wataelewana?
Kumbuka baba na mtoto ni family wewe ni wakuja kama ulivyokutana na mtoto!..
Fikiria mara tatu tatu,hapo unataka kutengeneza bomu la nuclear!....
Hicho unachotaka kukifanya mwisho wake ni AIBU....
Pole sana binti
 
Sana tu lakini sina mawasiliano nae kwa sasa.
Kwa vile tuu ni uongo.

Lakini Kama mshikaji anakupenda ni bora uache kuliko kuanzisha vita usiyoijua.

Utaleta ugomvi baina ya Baba na mtoto.
Na Kama Baba anajielewa basi atakuchapa na bado atakuacha na kufukuza.

Usicheze na dunia mdada.

Hapo upo kwenye mtihani mkubwa.
Kama umehisi kumwelewa Baba na naona moyo wako umeanza kumchambua kimahaba ni bora uwaache kwa amani ili amani yako iambatane nawe vingnevyo siuoni mwisho wako mwema.

Japo stori ya uongo
 
Dah. Shigidi asee.. Ebu mwombe ushauri huyo kijana kama yupo tayari uwe maza ake. Ikiwezekana ukakae kwao wawe wanaachiana zamu na mshua ya kula tunda la kati
 
Jamaa mwenyewe ndiye yule ambaye alikausha kukutaarifu kuwa mama yake amekuja kumtembelea???? Kuna kitu kinanijia kwa mbaaalii sasa!!!!!
 
cha msingi ebu waonje wote atakaekukuna vizuri na kukufikisha mlimani mara nyingi mchukue
 
Nyie wanawake mna laana sana..
Siamini kama ni kweli Sky au umetunga?
 
Habari za J5 wapendwa

Huyu kijana tulifahamiana miaka miwili iliyopita, wiki iliyopita alinikaribisha nyumbani kwao nikamuone baba yake. Nimefika nyumbani baba alituandalia vizuri sana, baba anaishi peke yake na chakula aliomba kipikwe na caterer. Nimevutiwa Zaidi na ucheshi wa baba kuliko huyu rafiki yangu sasa jinsi ya kuswitch hapa ni shughuli.

Huyu rafiki yangu alizaliwa wakati baba yake akiwa mwanafunzi, na baba aliendelea na shule mtoto akiwa kwa mama yake. Miaka mingi ilipita mpaka baba kumaliza elimu, mama alishaolewa hivyo rafiki yangu alikuja kulelewa na baba akiwa teenager, baba alikuja kuoa lakini mke alishatangulia mbele za haki. Baba na mtoto wamepishana umri kama miaka 20 hivi, na baba ni wa kileo kiaina sasa hapa niko njia ya panda, kuwapotezea wote maana yake huyu rafiki yangu hatanielewa akisikia niko na mdingi wake.

Huyu rafiki hatujafikia kula tunda la katikati, lakini kwa mzee nimeishiwa kabisa. Ushauri jamani.
Huoni kwamba unagombanisha familia? Kama baba atakuoa, unadhani mtoto wake atawaelewa? Na utaishi maisha gani kama kutakua na vita? Huo si ndio mwanzo was kuanza kugawa kwa wote ili kubalansi mambo? Baki na kijana. Wanaume unaoweza kuwapenda ni wengi na bado utakutana nao! Je , utakua ukibadilisha kienyeji hivi? Lazima kufikia mahali na kuamua kutulia. Kuliko uende na baba, bora uache wote, kabla hayajakutokea puani!
 
Samahani mkuu naomba niulize kabla sijatoa ushauri zaidi,kwani baba nae alimwaga vocal au wewe tu ndo umeamua kumshobokea mshua?
 
Jamani yote maisha, labda nilimfahamu mtoto ili nije kumuona baba yake.
Sio kirahisi namna hiyo yani nikupeleka rafiki nnaetegemea uwe mpezi na unajua hilo hafu unigeuke tena kwa baba ntakufanya kitu cha kumbukumbu yani
 
Back
Top Bottom