Nimempenda baba yake zaidi

Nimempenda baba yake zaidi

Faidi wote mama kipapai c chako, mie iliwai nitokea demu kapishana na mama yake 17yrs coz mama yake alipata mimba akiwa form two sasa anakuja nitambulisha mama yake sikuamini mwisho wa siku na mama naye akanipa tunda la mti wa kati , kama kawaida hayafichiki , mpaka leo mama na mwana hawaivi sufuria moja. Kumbe mm sikuwa wa kwanza
 
Wakati huku vijana tunapelekesha huku vidigi vinakula Zari la mentali. Kuna dalili za kuweka rangi nyeupe kichwani kupata Zari za kupendwa.


Ndukiiiii
Ukiwa na pochi yenye afya mkuu wala huhitaji rangi nyeupe kichwani, mazali ya kumwaga tu.
 
Habari za J5 wapendwa

Huyu kijana tulifahamiana miaka miwili iliyopita, wiki iliyopita alinikaribisha nyumbani kwao nikamuone baba yake. Nimefika nyumbani baba alituandalia vizuri sana, baba anaishi peke yake na chakula aliomba kipikwe na caterer. Nimevutiwa Zaidi na ucheshi wa baba kuliko huyu rafiki yangu sasa jinsi ya kuswitch hapa ni shughuli.

Huyu rafiki yangu alizaliwa wakati baba yake akiwa mwanafunzi, na baba aliendelea na shule mtoto akiwa kwa mama yake. Miaka mingi ilipita mpaka baba kumaliza elimu, mama alishaolewa hivyo rafiki yangu alikuja kulelewa na baba akiwa teenager, baba alikuja kuoa lakini mke alishatangulia mbele za haki. Baba na mtoto wamepishana umri kama miaka 20 hivi, na baba ni wa kileo kiaina sasa hapa niko njia ya panda, kuwapotezea wote maana yake huyu rafiki yangu hatanielewa akisikia niko na mdingi wake.

Huyu rafiki hatujafikia kula tunda la katikati, lakini kwa mzee nimeishiwa kabisa. Ushauri jamani.
Utakapomchana dogo kwamba umetokea kumuelewa mzee kuliko yeye alafu mzee akakutolea nje ndo utakapozalilika
 
Utakapomchana dogo kwamba umetokea kumuelewa mzee kuliko yeye alafu mzee akakutolea nje ndo utakapozalilika
Ninapotea katika uso wa dunia yao, na nikikutana na mmoja wao ninakauka, hata akiita Sky, ninamkazia macho unamwita nani?
 
Back
Top Bottom