rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 22,164
- 43,860
ni mtegoo huoo hiyo 3500 itamponzaa atoe nyingi zaidiNawaona tu matajiri wa Jf na swaga zao za msamehe msamehe
ni mtegoo huoo hiyo 3500 itamponzaa atoe nyingi zaidiNawaona tu matajiri wa Jf na swaga zao za msamehe msamehe
😂😂😂Amepunguza zero mbili mbele,ili kutunza Siri ya jukwaa.Si umsamehe tu mkuu elfu 3500 nayo kweli ukute ka kwama na wewe unaforce that way kkujibu hivyo.
Unapoteza mda wako TU,hizo Hela zimekopwa kimkakati.Nipe namba yako nimlipie huyo dada. 3500 n haki yako, Wala si ndogo kudai.
Potezea hiyo hela fanya mengine.
Jilani yako kutoka nae kimapenzi hautaacha maana atakuchanganya huko chumbani uwe unamkumbuka kila mara..Utapata shida badae.
Afu loji elfu 10. Kisa 3500.UUkiendelea kufuatilia hyo 3,500 yako utaonekana mjinga na kumbuka bure,, kataa offer Yake na umuachie hiyo hela.
Ni 3500. Elf tatu na Mia tano

hapo ulipotaja kwamaneno kabisanaona jinsi ulivyo ichukulia. Tuache utani lakini watu hawana pesa mtaani
.Soma vizuri ni 3500Elfu 35000 tu .... Umeiwekea bando kbs tuidiscuss Huku..kweli? Samehe tu
We nenda kamalizane nae kama unasusa bora ususe😂😂😂Za asubuhi, ni jirani yangu huyu na si mara ya kwanza mimi kumkopesha hela. Nimemkopesha jumla ya 15,000 kwa nyakati tofauti na zote hulipa.
Hii ya sasa 3,500 anasema hana, na ukizingatia mimi nilikuwa na shida nayo sana hiyo hela ili niitumie kwenye matumizi yangu. Ananiambia aje nyumbani au nitafute nyumba ya wageni tukamalizane na nisimdai tena. Nashindwa kuwaelewa wanawake, uaminifu siku hizi hakuna kabisa.
Na magonjwa haya ya siku hizi, naomba nipewe njia sahihi za kuipata hela yangu pasipo kumuumiza au kumkwaza.
Nilitaka kusamehe ila moyo unaniuma mno.
Naelewa mkuu😅😅, nimeandika kwa maneno maana mtu ukisoma haraka haraka unaweza ona ni 35,000hapo ulipotaja kwamaneno kabisanaona jinsi ulivyo ichukulia. Tuache utani lakini watu hawana pesa mtaani
.
Kuna uzi Ulisema unamiliki range rover inasumbua umeme taa ya kushoto....kumbe wewe ni muuza mahindi?

Kweli wewe ni boyaaa ....sasa kwani kila muiza mahindi ni mchovuKuna uzi Ulisema unamiliki range rover inasumbua umeme taa ya kushoto....kumbe wewe ni muuza mahindi?
Nsameheni mkuu nmewakosea wauza wauza mahindiKweli wewe ni boyaaa ....sasa kwani kila muiza mahindi ni mchovu
Weka huo uzi hapa nioneKuna uzi Ulisema unamiliki range rover inasumbua umeme taa ya kushoto....kumbe wewe ni muuza mahindi?
Umekuja kutueleza ili tukushauri?Za asubuhi, ni jirani yangu huyu na si mara ya kwanza mimi kumkopesha hela. Nimemkopesha jumla ya 15,000 kwa nyakati tofauti na zote hulipa.
Hii ya sasa 3,500 anasema hana, na ukizingatia mimi nilikuwa na shida nayo sana hiyo hela ili niitumie kwenye matumizi yangu. Ananiambia aje nyumbani au nitafute nyumba ya wageni tukamalizane na nisimdai tena. Nashindwa kuwaelewa wanawake, uaminifu siku hizi hakuna kabisa.
Na magonjwa haya ya siku hizi, naomba nipewe njia sahihi za kuipata hela yangu pasipo kumuumiza au kumkwaza.
Nilitaka kusamehe ila moyo unaniuma mno.
Ndio zenu hizo...,We yani unamkopeshaje mwanamke![]()