Litro
JF-Expert Member
- Nov 18, 2018
- 1,134
- 2,372
Ha haaa ye anataka wafanye mchezo m'baya mambo ya vyakula kufilisiana sasando kumalizana huko ambako bi dada anatakaa. pia hela imetengeneza riba
Ha haaa ye anataka wafanye mchezo m'baya mambo ya vyakula kufilisiana sasando kumalizana huko ambako bi dada anatakaa. pia hela imetengeneza riba
Mchezo mbaya ni dhambi hah haaaaa haaa bora mtu ale ubwabwa alale mbele, muda wote unakaa kifuani kwa mtu utatafuta hela muda ganiiiiiiha haaa ye anataka wafanye mchezo m'baya mambo ya vyakula kufilisiana sasa
Utakua umemtinga sana,kwa hii komenti,jaribu kumpa muda,akutafutie,daah! namuonea huruma sana dada wa watu.Subiri akulipe halafu kama kumtongoza ndiyo uanze kumtongoza,siyo vizuri kumla mtu akiwa kwenye shida.Moyo unaniwia mzito mno kuiachia hela yangu
ha haaaaaaaaaaaaaa haaa ka kweli vileeeeeeUtakua umemtinga sana,kwa hii komenti,jaribu kumpa muda,akutafutie,daah! namuonea huruma sana dada wa watu.Subiri akulipe halafu kama kumtongoza ndiyo uanze kumtongoza,siyo vizuri kumla mtu akiwa kwenye shida.
Elfu 3???Za asubuhi, ni jirani yangu huyu na si mara ya kwanza mimi kumkopesha hela. Nimemkopesha jumla ya 15,000 kwa nyakati tofauti na zote hulipa.
Hii ya sasa 3,500 anasema hana, na ukizingatia mimi nilikuwa na shida nayo sana hiyo hela ili niitumie kwenye matumizi yangu. Ananiambia aje nyumbani au nitafute nyumba ya wageni tukamalizane na nisimdai tena. Nashindwa kuwaelewa wanawake, uaminifu siku hizi hakuna kabisa.
Na magonjwa haya ya siku hizi, naomba nipewe njia sahihi za kuipata hela yangu pasipo kumuumiza au kumkwaza.
Nilitaka kusamehe ila moyo unaniuma mno.
Anaumia na 3500? Sasa Ataendaje GH ya 15k?Ni 3500. Elf tatu na Mia tano
Kuna uzi Ulisema unamiliki range rover inasumbua umeme taa ya kushoto....kumbe wewe ni muuza mahindi?Kuna mmoja alikuwa na utaratibu wa kuja kuchukua mahindi store kwangu na kwenda kuuza na kuniletea hela,wakat huo mahindi yapo kwenye 18,000 debe,kuna siku kachukua debe mbili,hakuleta hela na mimi nikapiga kimya tu,kwanza ni kidemu kipambanaji na mumewe ni mtu wa kushinda vijiwen sasa huwa nakahurumia fulani hako kademu,
Kalivyoona nimekaa kimya kakaanza kuleta mazoea ya kwenye simu mara kananiambia kataniletea hela lakini hakaleti mara kananiambia kamenimiss kanataman kuniona,nikajua tu kanataka kunipa mbususu kafute deni,kuna muda tuna panga kwenda kumalizana ila nakuwa nakapotezea maana najua nikiingia tu nitaombwa mtaji,nimeamua nikaachie hyo hela kama kukasaidia
Atakuwa anakaa maeneo BUZA KWA MPALANGE Huyu.Majirani kama hao huwa mnawapata wapi jameni, yaani yupo radhi kuruhusu mapaja yake kwa 3,500 za Tanzania.....
Wengine tuna majirani wa hovyo, full kununa haujui utaanzia wapi.
Hapo unadai kweli?Za asubuhi, ni jirani yangu huyu na si mara ya kwanza mimi kumkopesha hela. Nimemkopesha jumla ya 15,000 kwa nyakati tofauti na zote hulipa.
Hii ya sasa 3,500 anasema hana, na ukizingatia mimi nilikuwa na shida nayo sana hiyo hela ili niitumie kwenye matumizi yangu. Ananiambia aje nyumbani au nitafute nyumba ya wageni tukamalizane na nisimdai tena. Nashindwa kuwaelewa wanawake, uaminifu siku hizi hakuna kabisa.
Na magonjwa haya ya siku hizi, naomba nipewe njia sahihi za kuipata hela yangu pasipo kumuumiza au kumkwaza.
Nilitaka kusamehe ila moyo unaniuma mno.

Nimecheka Sana 3.5k kajamaa kaanzishia Uzi kabisa hii very interesting kwa kweliNjaa itakuua
Yaani elfu tatu mia tano (3,500) tu unaanzisha thread?????
Watoto waliomaliza la saba juzi wanatusumbua sana
Leta number yakeZa asubuhi, ni jirani yangu huyu na si mara ya kwanza mimi kumkopesha hela. Nimemkopesha jumla ya 15,000 kwa nyakati tofauti na zote hulipa.